bhuzuri wa bhuzuri
Member
- Sep 13, 2018
- 8
- 2
DuuuPole sana ndugu yangu.
Maana yenyewe ni hii..
Huyo nyoka ni mwanaume. Kuna wanaume wawili huja hapo wakati unaondoka ndio maana ya mikia miwili ya huyo nyoka.
Hapo ni sawa na fumanizi utakalokutana nalo.. kama hutakuwa strong utaumia kwenye hilo fumanizi na ndoa yako itagawanyika na watoto watapata tabu sana.
Jamani nisaidieni kujua Maana ya hiindoto usiku waleo nimeota ndoto. Nyoka mweusi anaye metameta mwenye mikia miwili ana elekea ndani mwangu nikachukua jiwe dogo nika mponda gafra akanilukia na kunigonga mkono wakulia. Nikaufunga kamba karibia na bega ukavimba ukabadilika ngozi ikawa Kama yayule nyoka. Badae ukachanika kwenye vidole nikaanza kutokwa damu. Wadau nimeota maana gani hii ndoto
Mkuu me nikiota nyoka mweusi siendi ata job maana nishafanya testing napata majanga tu nikienda job?sasa wewe kama umeng'atwa plz fanya ibada sana mkuu wachawi wameku hackJamani nisaidieni kujua Maana ya hiindoto usiku waleo nimeota ndoto. Nyoka mweusi anaye metameta mwenye mikia miwili ana elekea ndani mwangu nikachukua jiwe dogo nika mponda gafra akanilukia na kunigonga mkono wakulia. Nikaufunga kamba karibia na bega ukavimba ukabadilika ngozi ikawa Kama yayule nyoka. Badae ukachanika kwenye vidole nikaanza kutokwa damu. Wadau nimeota maana gani hii ndoto
Asante sanaMkuu me nikiota nyoka mweusi siendi ata job maana nishafanya testing napata majanga tu nikienda job?sasa wewe kama umeng'atwa plz fanya ibada sana mkuu wachawi wameku hack