Ndoto nyingine bwana!

Mohammed Hamad

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2011
Posts
3,988
Reaction score
1,308
Jamaa wawili walikua wamekaa pamoja, mmoja akamwambia mwenzake: Leo nimeota niko UFARANSA,yule mwenzake akasema: na mi leo nimeota nimewaalika watu kwangu. yule jamaa wa kwanza akahamaki sana akamwambia mwenzake'' Mbona hujanialika na mimi''? Jamaa akamjibu: mi nlidhani bado upo UFARANSA.
 
hahah,wte wabinafsi asa jamaa si angenda na mwenzie ufaransa...teh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…