Ndoto inayonitesa maishani

Unawezaje kupata profit kwenye investment hii, yaani pesa unaingizaje
Hili nalo bado ni changamoto sijajua kwa uhakika but yawezekana kuingia ubia na kampuni za bima but pia kpata ruzuku toka serikalini but nadhani linahitajika pia kutafitiwa namna gani linaweza kuingiza mapato.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…