Retards Finder
JF-Expert Member
- Apr 24, 2018
- 509
- 706
Mimi ni kijana wa Kikristo ninayeabudu kupitia dhehebu la Kanisa Katoliki.
Ila si mtu wa dini sana,hata kanisani huwa naenda mara chache sana kwa mwaka.
Lakini nimekua nikiota ndoto moja ya kiimani mara kwa mara,haiwezi kupita mwezi sijaota ndoto hii.
NDOTO YENYEWE:
Usiku wa manane ghafla najikuta napambana na nguvu ambayo haionekani kwa macho,hiyo nguvu napambana nayo kwa njia ya MAOMBI,nakemea sana hiyo nguvu kwa kulitaja jina la Yesu (kama vile wafanyavyo walokole).
Kuna wakati huwa kama inakaribia kunishinda (huwa nahisi kama napoteza nguvu),ila kadri ninavyozidi kulitaja jina la Yesu mara nyingi ndivyo nguvu hivyo inaposhindwa kuendelea na mapambano.
SWALI:
Ni nini maana ya ndoto hii ambayo imekua ikikatisha usingizi wangu mara kwa mara?
Nini nifanye kuepukana na ndoto hii?
MUNGU ANA MPANGO NA WEWEMkuu achana na vitu vya kizembe hivyo!
Well,it is just a ndoto!
Why sweating yourself over kitu cha kufikirika kama ndoto?
Ndio shida ya madini...ukiamini kuna Mungu maana unaamini Shetani by the Law of Opposite Image....wanaoamini Mungu wanaamini Shetani essentially..
Kuamini kuna Mungu ni upumbavu wa hali ya juu..ndio maana mnapata psychological problems and stresses like these...Hizi ndio psychological capitivities mnazopata...
Delete these God/Shetani/Dini stupidity!
MUNGU ANA MPANGO NA WEWE
subiri ipo SIKU.utaitafuta I'd ya the greater ManHahahaaaaa....kakwambia lini?
subiri ipo SIKU.utaitafuta I'd ya the greater Man
nadhan utashangaaa
HahahahaNdoto yako inakukanya usitembee na wake za watu
You must be out of your line.....are u drunk or something!Mkuu achana na vitu vya kizembe hivyo!
Well,it is just a ndoto!
Why sweating yourself over kitu cha kufikirika kama ndoto?
Ndio shida ya madini...ukiamini kuna Mungu maana unaamini Shetani by the Law of Opposite Image....wanaoamini Mungu wanaamini Shetani essentially..
Kuamini kuna Mungu ni upumbavu wa hali ya juu..ndio maana mnapata psychological problems and stresses like these...Hizi ndio psychological capitivities mnazopata...
Delete these God/Shetani/Dini stupidity!
Amalizie na kitimotoWe kula bapa (Konyagi) na ganja ..nakuapia hutaota tena
You must be out of your line.....are u drunk or something!
Well saidAmalizie na kitimoto
Ha ha ha!!!Ndoto yako inakukanya usitembee na wake za watu