Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,261
Wewe ndio umekwisha Kama mpaka wanakushirikisha kwenye vikao vyao bila wewe kujua😂😂Bora wewe.....Mimi nalishwa minyama usiku na nakuwa na watu nisiowajua......nimechoka Sasa waje hata na makande kha
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kama title inavyosema, nimekuwa nikiota niko shule na ni kipindi cha kumaliza. Kipindi cha mitihani.
Sasa huwa najikuta sijasoma kabisa na mtihani ndio huo! Basi huwa naweweseka sana na kuwa na hofu. Wakati wengine wanajiandaa mi huwa sijui niko bize na nini. Mwisho wa siku huwa napata ahueni kuwa ni ndoto.
Kubwa kuliko ni usiku uliopita. Mitihani mingine japo sikuwa nimesoma niliifanya kiaina, kama kingereza (sikumbuki ilikuwa level gani-sec or primary). Sasa mtihani wa mwisho ilikuwa namba.
Yani kila nikiwaza sioni natoboa vipi. Sikumbuki fomula wala nini. Kila ninayemfuata japo animumbushie longolongo nyingi. Wakawa wananiambia nikae karibu na mtaalam ili nidese. Bado simutaka iwe hivyo.
Ikawa imebaki masaa machache pepa kuanza. Hapo ni alhamis. Kumbe bana mi ndio nilikuwa sijui kuwa kuwa pepa itafanyika next week jumanne.
Yani ni kama niliona nyota ya jaha kwa furaha na ahueni. Ningepata muda wa kutosha kureview na angalau kujibu baadhi ya maswali.
Nilifurahi zaidi nilipogundua kuwa ni ndoto.
Siku chache zilizopita tena nikaota tuko kwenye mitihani. Safari hii ni chuo. Pepa za kumaliza mwaka wa mwisho. Mambo yakawa mengi naingia humu natokea mu
Basi ikawa mitihani iliyobakia sikufanya. Hiyo ikimaanisha sitagraduate.
Basi ndoto za namna hii zimeshajirudia zaidi ya mara kumi. Hatari sana
Mm pia napata ndoto za ki shule sanaAisee hii ndoto mm haipiti siku 1 lazima niote tena inajia sana sijui kwanini hapa sio bure kuna namna haiwezekani kila siku mandoto ya shule mara nipo shule ya msingi mara secondary mara chuo
Ila kuna siku ndio iliniacha hoi niliota kuna vita vya dunia sasa likapigwa bomu la nyukilia likaenda juu likawa linakuja maeneo ya chuo chetu na wanafunzi wapo wengi basi wakawa wanakimbia huku na kule kila mtu anaogopa basi mm nikapaaa mpaka juu kuliwahi nikalikamata na kulizima nikiwa huko angani na ndoto ikakakata hapo kuamka hoi
Kusema kweli mm zinakera maana mm haipiti siku 1 au 2 mara chuo mara secondary kuna nectaMm pia napata ndoto za ki shule sana
Duh! Kumbe tuko wengi? Kweli si bure. Hizi ndoto kuna kitu zinaashiria 😄Aisee hii ndoto mm haipiti siku 1 lazima niote tena inajia sana sijui kwanini hapa sio bure kuna namna haiwezekani kila siku mandoto ya shule mara nipo shule ya msingi mara secondary mara chuo
Ila kuna siku ndio iliniacha hoi niliota kuna vita vya dunia sasa likapigwa bomu la nyukilia likaenda juu likawa linakuja maeneo ya chuo chetu na wanafunzi wapo wengi basi wakawa wanakimbia huku na kule kila mtu anaogopa basi mm nikapaaa mpaka juu kuliwahi nikalikamata na kulizima nikiwa huko angani na ndoto ikakakata hapo kuamka hoi
Dah! Pole mkuu 😅😅Kusema kweli mm zinakera maana mm haipiti siku 1 au 2 mara chuo mara secondary kuna necta
Bora wewe.....Mimi nalishwa minyama usiku na nakuwa na watu nisiowajua......nimechoka Sasa waje hata na makande kha
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Aisee hii ndoto mm haipiti siku 1 lazima niote tena inajia sana sijui kwanini hapa sio bure kuna namna haiwezekani kila siku mandoto ya shule mara nipo shule ya msingi mara secondary mara chuo
Ila kuna siku ndio iliniacha hoi niliota kuna vita vya dunia sasa likapigwa bomu la nyukilia likaenda juu likawa linakuja maeneo ya chuo chetu na wanafunzi wapo wengi basi wakawa wanakimbia huku na kule kila mtu anaogopa basi mm nikapaaa mpaka juu kuliwahi nikalikamata na kulizima nikiwa huko angani na ndoto ikakakata hapo kuamka hoi
Hii inamaanisha kuwa hapo ulipo upo idol. Yaani ni kama haujatimiza ndoto yako ulivyotaka uwe. Upo katika situation ambayo ni low kuliko ulivyotakiwa kuwa. So pambana tafuta njia ya kutoka hapo kwenye hilo shimo ulipostuck.Kama title inavyosema, nimekuwa nikiota niko shule na ni kipindi cha kumaliza. Kipindi cha mitihani.
Sasa huwa najikuta sijasoma kabisa na mtihani ndio huo! Basi huwa naweweseka sana na kuwa na hofu. Wakati wengine wanajiandaa mi huwa sijui niko bize na nini. Mwisho wa siku huwa napata ahueni kuwa ni ndoto.
Kubwa kuliko ni usiku uliopita. Mitihani mingine japo sikuwa nimesoma niliifanya kiaina, kama kingereza (sikumbuki ilikuwa level gani-sec or primary). Sasa mtihani wa mwisho ilikuwa namba.
Yani kila nikiwaza sioni natoboa vipi. Sikumbuki fomula wala nini. Kila ninayemfuata japo animumbushie longolongo nyingi. Wakawa wananiambia nikae karibu na mtaalam ili nidese. Bado simutaka iwe hivyo.
Ikawa imebaki masaa machache pepa kuanza. Hapo ni alhamis. Kumbe bana mi ndio nilikuwa sijui kuwa kuwa pepa itafanyika next week jumanne.
Yani ni kama niliona nyota ya jaha kwa furaha na ahueni. Ningepata muda wa kutosha kureview na angalau kujibu baadhi ya maswali.
Nilifurahi zaidi nilipogundua kuwa ni ndoto.
Siku chache zilizopita tena nikaota tuko kwenye mitihani. Safari hii ni chuo. Pepa za kumaliza mwaka wa mwisho. Mambo yakawa mengi naingia humu natokea mule.
Basi ikawa mitihani iliyobakia sikufanya. Hiyo ikimaanisha sitagraduate.
Basi ndoto za namna hii zimeshajirudia zaidi ya mara kumi. Hatari sana
Sure. Kuna shule, sehemu niliyofanya kazi awali, na kadhalika. Huwa yanajirudia sanafind some people u have had good relations from the past but currently you have ignored, they can be your parents, relatives school mates, perhaps things are tough and just cheking on them u might wonder how opportunities turn in.