Ndoto Hii Ya Kutisha,imekata Usingizi Wangu

wiseboy.

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2014
Posts
2,931
Reaction score
4,549
Wakuu Nimeota Ndoto Ndefu Sana Ambayo Kwa Asilimia 90 Ilikuwa Ya Kutisha,mimi Ni Mmoja Kati Ya Wengi Au Wachache Ambao Wanaamini Kuwa Wanawake Wa Mitandaoni Hawafai Kuolewa,na Kwa Hiyo Sijawahi Hata Siku Moja Ku Date Au Kufikiria Ku Date Nao,sasa Usiku Huu Wa Manane Ndoto Ya Ajabu Ikanivaa,nimeota Nimefunga Pingu Za Maisha Na Member Wa Humu Mwenye ID Ya Xy,eti Xy Alinizimikia Sana Na Akawa Tayari Nimuoe Pamoja Na Ufukara Wangu,nimeishi Naye Kwa Shida Hadi Tukafanikiwa Kujenga Nyumba Na Kumiliki Mali Kadhaa,mara Xy Akaanza Kubadilika Ghafla Akawa Anataka Tuachane Na Tugawane Mali,nikamsihi Sana Kumbe Alikuwa Na Hawara Nje Ya Ndoa,sasa Mara Nimemfumania Akiwa Anagegedwa,mgoni Wangu Katoa Bastola Na Kunitandika Risasi Kifuani,nimepiga Kelele Nakufaaa Nikajikuta Naamka Nikiwa Naweweseka Na Jasho Jingi Linanitoka Na Mapigo Ya Moyo Kwenda Mbio,what A Stupid Dream Is That??? Imenikera Sana Hii Ndoto Ya Kijinga Kabisa.
 
Pole, naona unaandamwa na jini mahaba. Unahitaji maombezi na toba ili ndoto mbaya kama hizo uondokane nazo. Ubarikiwe!!
 
Amina Mama Mdogo,na Wewe Mbona Hujalala Kulikoni?
 
Nimeamka mapema najitayarisha kusafiri kwenda Mbeya toka Nkasi. Hapa Nkasi bus laondoka saa 11:30 asubuhi, hivyo nimedamka mapema ili kuwahi. Mbona nawe hujalala, au umeota tena ndoto mbaya?? Ubarikiwe!!!
 
Ni Ile Ile Ndoto Ndo Imekatisha Usingizi Wangu Hadi Sasa.
 
hahaa haa interesting....usiwe unasinzia huku uko JF....lala mapema

Poa Mkuu,tena Cha Ajabu Huyo Member Niliyeota Eti Kawa Wife Yumo Humu active Kabisa,sema Si Vizuri Kuweka ID Yake Ukizingatia Hiyo Ni Ndoto Tu.
 
Nimeamka mapema najitayarisha kusafiri kwenda Mbeya toka Nkasi. Hapa Nkasi bus laondoka saa 11:30 asubuhi, hivyo nimedamka mapema ili kuwahi. Mbona nawe hujalala, au umeota tena ndoto mbaya?? Ubarikiwe!!!

Nkansi namanyere au???

Nimefanya kazi hapo miaka ya tisini, salimia sana akina matofali, kanazi na watu wa nkomolo...
 
Poa Mkuu,tena Cha Ajabu Huyo Member Niliyeota Eti Kawa Wife Yumo Humu active Kabisa,sema Si Vizuri Kuweka ID Yake Ukizingatia Hiyo Ni Ndoto Tu.

Next time lala na bastola, ukiota unapigwa risasi unafyatua moja hewani...
 
Ndoto ni 75% ukweli ....kwa upande wangu take care
 
Mhn..... Shkamooo ndoto. Tatizo kibongobongo tunalala bila ya kumuomba MUNGU tunajitupa tu kama magunia sokoni. Pendelea kuwa unamkabidhi MUNGU kila jambo unaloenda kulifanya hata huko kulala unahitaji ulinzi wake ili akuepushe na upuuzi wa ndoto kama hizo na mengineyo.
 
Wakuu Nimeota Ndoto Ndefu Sana Ambayo Kwa Asilimia 90 Ilikuwa Ya Kutisha,mimi Ni Mmoja Kati Ya Wengi Au Wachache Ambao Wanaamini Kuwa Wanawake Wa Mitandaoni Hawafai Kuolewa,na Kwa Hiyo Sijawahi Hata Siku Moja Ku Date Au Kufikiria Ku Date Nao,sasa Usiku Huu Wa Manane Ndoto Ya Ajabu Ikanivaa,nimeota Nimefunga Pingu Za Maisha Na Member Wa Humu Mwenye ID Ya Xy,eti Xy Alinizimikia Sana Na Akawa Tayari Nimuoe Pamoja Na Ufukara Wangu,nimeishi Naye Kwa Shida Hadi Tukafanikiwa Kujenga Nyumba Na Kumiliki Mali Kadhaa,mara Xy Akaanza Kubadilika Ghafla Akawa Anataka Tuachane Na Tugawane Mali,nikamsihi Sana Kumbe Alikuwa Na Hawara Nje Ya Ndoa,sasa Mara Nimemfumania Akiwa Anagegedwa,mgoni Wangu Katoa Bastola Na Kunitandika Risasi Kifuani,nimepiga Kelele Nakufaaa Nikajikuta Naamka Nikiwa Naweweseka Na Jasho Jingi Linanitoka Na Mapigo Ya Moyo Kwenda Mbio,what A Stupid Dream Is That??? Imenikera Sana Hii Ndoto Ya Kijinga Kabisa.

Jarib kukumbuka ulikula nini usiku na kwa kiwango kipi? Ndoto nyingi hasa za usiku ni matokeo ya kula chakula bila kiasi..

Halafu pia inaonekana huyo xy unampenda hvyo unaweza kuwa unatumia furusa hii kufikisha ujumbe kwa njia ya fasihi ongera kwa kuwa mbunifu..
 
Ww kuna mtu unamtaka humu sio bure ndomana ukaota siku zote kilichopo akilini ndio ukiotacho
 
duh, suluhisho mtafute huyo xy uliyemuota myaweke sawa!
 
Wakuu Nimeota Ndoto Ndefu Sana Ambayo Kwa Asilimia 90 Ilikuwa Ya Kutisha,mimi Ni Mmoja Kati Ya Wengi Au Wachache Ambao Wanaamini Kuwa Wanawake Wa Mitandaoni Hawafai Kuolewa,na Kwa Hiyo Sijawahi Hata Siku Moja Ku Date Au Kufikiria Ku Date Nao,sasa Usiku Huu Wa Manane Ndoto Ya Ajabu Ikanivaa,nimeota Nimefunga Pingu Za Maisha Na Member Wa Humu Mwenye ID Ya Xy,eti Xy Alinizimikia Sana Na Akawa Tayari Nimuoe Pamoja Na Ufukara Wangu,nimeishi Naye Kwa Shida Hadi Tukafanikiwa Kujenga Nyumba Na Kumiliki Mali Kadhaa,mara Xy Akaanza Kubadilika Ghafla Akawa Anataka Tuachane Na Tugawane Mali,nikamsihi Sana Kumbe Alikuwa Na Hawara Nje Ya Ndoa,sasa Mara Nimemfumania Akiwa Anagegedwa,mgoni Wangu Katoa Bastola Na Kunitandika Risasi Kifuani,nimepiga Kelele Nakufaaa Nikajikuta Naamka Nikiwa Naweweseka Na Jasho Jingi Linanitoka Na Mapigo Ya Moyo Kwenda Mbio,what A Stupid Dream Is That??? Imenikera Sana Hii Ndoto Ya Kijinga Kabisa.

kwa haraka haraka inaelekea muda mrefu hujakutana kimwili na mwanamke ndo maana mademu wenye ID humu unawafikiria myb wazuri kimaumbile ikakupelekea mpk mmoja wao kumuota la pili hujiamini kabisa unafikiria sana kuibiwa demu na hta hvyo pia unafkiria unapokuta umeibiwa mgoni wako anaweza kukufanyia kwahyo nakushauri jiamini yakipangwa yakutokee hayana jins yatakutokea tu!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom