LJ BLOG Senior Member Joined Jul 24, 2011 Posts 194 Reaction score 154 Feb 19, 2017 #1 Habarini Wanajamvi. Siku kama mbili nyuma mke wangu kaota amezaa kwa operesheni lakini mtoto ametolewa masikioni je hii ndoto ina maana gani? Kwa wajuzi tafadhari naomba kuelimishwa katika hili
Habarini Wanajamvi. Siku kama mbili nyuma mke wangu kaota amezaa kwa operesheni lakini mtoto ametolewa masikioni je hii ndoto ina maana gani? Kwa wajuzi tafadhari naomba kuelimishwa katika hili
T Tuchki JF-Expert Member Joined Feb 1, 2017 Posts 1,740 Reaction score 1,446 Feb 19, 2017 #2 subir wataalam waje
Blessed wild Member Joined Feb 16, 2017 Posts 17 Reaction score 7 Feb 19, 2017 #3 Haina maana yoyote. Nadhani aliingia katika mawazo ya mimba au uzazi au mlikuwa mnaongelea habari hizo. Au anaujauzito
Haina maana yoyote. Nadhani aliingia katika mawazo ya mimba au uzazi au mlikuwa mnaongelea habari hizo. Au anaujauzito
vnn JF-Expert Member Joined Oct 6, 2015 Posts 3,030 Reaction score 7,497 Feb 19, 2017 #4 Oparesheni ilifanyika tumboni au maskioni?
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 167,059 Reaction score 185,356 Feb 19, 2017 #5 Huyo mtoto siyo wako... Ndiyo maana yake...
Tape measure JF-Expert Member Joined Nov 26, 2015 Posts 1,988 Reaction score 3,688 Feb 19, 2017 #6 JPM legeza kamba pls watu wanazidi kuchanganyikiwa