Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,730
- 8,821
Wakuu kwa siku kama 2 hivi naota ndoto kwamba nna uwezo wa kukimbia sana
Yani nakimbia kwa speed ya farasi na sijui wapi naelekea ghafla ndoto inakata
Huwa nakimbia nakutana hadi na wanyama wakali lakini kutokana na speed yangu wale wanyama nawaacha mbali but kabla sijafika niendako ghafla ndoto inaisha kutamalaki asubuhi hiyooo
Wenye ujuvi wa kutafsiri ndoto wanitafsirie hii.
my friend ukiota unakimbizwa na wanyama wakali ni unashindana na falme za kipepo kukimbia kwako ni kwamba mungu amekushindia juu ya hiyo mitego ya kipepo na tafuta kitabu cha Mwalimu Christopher Mwakasege cha ndoto utaelewa maana ya ndoto nyingi, kumbuka kinacholala ni mwili tu roho hazilali unachoota zaidi ya mara mbili ni ujumbe wa mungu kama ni mkristo soma kitabu cha Daniel utaona ndoto aliyoota na habara za yusuphu utaelewaWakuu kwa siku kama 2 hivi naota ndoto kwamba nna uwezo wa kukimbia sana
Yani nakimbia kwa speed ya farasi na sijui wapi naelekea ghafla ndoto inakata
Huwa nakimbia nakutana hadi na wanyama wakali lakini kutokana na speed yangu wale wanyama nawaacha mbali but kabla sijafika niendako ghafla ndoto inaisha kutamalaki asubuhi hiyooo
Wenye ujuvi wa kutafsiri ndoto wanitafsirie hii.
Mkuu riadha inakuhusu hapo wala ahitaji muhenga kukudadavulia maana ya hii ndotoWakuu kwa siku kama 2 hivi naota ndoto kwamba nna uwezo wa kukimbia sana