Elections 2010 NDOTO: CCM kukubali mdahalo

Mvaa Tai

JF-Expert Member
Aug 11, 2009
6,159
4,443
Nimeota ndoto ccm wamekubali kuwe kunafanyika mdahalo kwa masharti yafuatayo:-

1. Wanaotakiwa kuhudhulia wawe ni wazee wa dar es salaam tu, hataruhusiwa kijana au mtu yeyote asiyeogopa mabadiriko.

2. Mdahalo usirushwe hewani, mpaka usarama wa taifa wa uhariri kwanza.

3. Kusiwe na maswali ya papo kwa papo maswali yoote yaletwe kwa muhusika siku moja kabla ya mdahalo, na hata kama italazimika kuwepo kwa maswali ya papo kwa papo, hairuhusiwi kuuliza maswali yanayo kosoa uongozi uliopita maana huatarisha amani tuliyoizoea.
 
Maswali ya namna hii yanawezwa na Kikwete na Lowasa tu tena pale TBC tu na leader wa mdahalo awe Tido Mhando au marine Hassan
 
He he he heeeeee! Ati ndoto ni ya kijinga, Aotaye mema ya wengi anawatakia wengi mema, huenda ni mjinga lakini hata Mungu alimtumia Punda kumwonya mfalme kwenye misahafu baada ya kuona mfalme ni mjinga zaidi ya punda, te te te te teeeee!

CCM wasome maandishi ukutani kujua nyakati za sasa zikoje, anyway, they will be too late being long dragged by Mshambaa as he likes, he he he he heeee! Hureee ndoto! Ujumbe wa Mungu unaweza kuja kwa njia ya ndoto, sio mara moja watu wameokoka kwa kujiwa ndotoni na kutambua uhuni hauna nafasi tena. Du!
 
:confused2::confused2::confused2:watie pua waone kitakacho watokea.Wagombea CCM full vihiyo kama katibu wao.
 
Nimeota ndoto ccm wamekubali kuwe kunafanyika mdahalo kwa masharti yafuatayo:-

1. Wanaotakiwa kuhudhulia wawe ni wazee wa dar es salaam tu, hataruhusiwa kijana au mtu yeyote asiyeogopa mabadiriko.

2. Mdahalo usirushwe hewani, mpaka usarama wa taifa wa uhariri kwanza.

3. Kusiwe na maswali ya papo kwa papo maswali yoote yaletwe kwa muhusika siku moja kabla ya mdahalo, na hata kama italazimika kuwepo kwa maswali ya papo kwa papo, hairuhusiwi kuuliza maswali yanayo kosoa uongozi uliopita maana huatarisha amani tuliyoizoea.

Mkuu ezan.

Mkuu wewe utakuwa pacha wangu nini ?.
 
He he he heeeeee! Ati ndoto ni ya kijinga, Aotaye mema ya wengi anawatakia wengi mema, huenda ni mjinga lakini hata Mungu alimtumia Punda kumwonya mfalme kwenye misahafu baada ya kuona mfalme ni mjinga zaidi ya punda, te te te te teeeee!

CCM wasome maandishi ukutani kujua nyakati za sasa zikoje, anyway, they will be too late being long dragged by Mshambaa as he likes, he he he he heeee! Hureee ndoto! Ujumbe wa Mungu unaweza kuja kwa njia ya ndoto, sio mara moja watu wameokoka kwa kujiwa ndotoni na kutambua uhuni hauna nafasi tena. Du!

Kule Vatican, ujumbe wa Mungu wakati wa kutafuta papa ni kutoka kwa moshi mweupe. Naona Mungu kabadilisha mfumo wa kufanya kazi na waja wake. :becky:
 
He he he heeeeee! Ati ndoto ni ya kijinga, Aotaye mema ya wengi anawatakia wengi mema, huenda ni mjinga lakini hata Mungu alimtumia Punda kumwonya mfalme kwenye misahafu baada ya kuona mfalme ni mjinga zaidi ya punda, te te te te teeeee!

CCM wasome maandishi ukutani kujua nyakati za sasa zikoje, anyway, they will be too late being long dragged by Mshambaa as he likes, he he he he heeee! Hureee ndoto! Ujumbe wa Mungu unaweza kuja kwa njia ya ndoto, sio mara moja watu wameokoka kwa kujiwa ndotoni na kutambua uhuni hauna nafasi tena. Du!

menemene tekeli na presi...
 
ndoto yako ya kijinga

siyo ndoto ya kijinga jifunze kuangalia vitu nje ya boksi.

Kidumu chama tawala, zidumu na fikra za waasisi wake maana fikra zao zinafanyiwa kazi na uongozi wa sasa ndo maana tunaendelea.
 
Back
Top Bottom