Ndoa

Ndoa

mumema

Member
Joined
Jan 19, 2014
Posts
12
Reaction score
0
Nilioa nakufunga ndoa!na mungu ametujalia kupata mtoto mmoja wa kiume.nilihamishwa sehemu nyingine kikazi ila mke wangu alikataa kuhama na baada ya hapo alienda mahakamani kuomba talaka!pia hakati mtt nimwone wala kufika kwake!nifanyaje?naomba ushaur
 
Sema ukweli wote upewe ushauri. Kama ulibugi tukupe za uso freshi.
 
Kweli majanga, kama ulivyoainisha kwenye tag.
 
Kwa hiyo umejiunga JF jana mahususi ili uulize hili swali?
Ushauri wangu kama kweli ni ndoa na mkeo kashindwa kuhama basi hama wewe umfuate
 
Back
Top Bottom