Wewe ni 'KE' au 'ME'?wapendwa na ishi ktk mahusiano ya kinyumba na mwenzangu zaidi ya miaka saba,lakini kila nitakapo mwambia tuoane hataki na mpaka sasa anaendelea kusimama katika msimamo wake huo huo,(malengo yangu nikutimiza sheria za dini ili tuishi kwa amani zaidi).mnani shauri nini jamani?
atakua shemale, kajichanganya sanaWewe ni 'KE' au 'ME'?
Kwa jibu la pamoja mwenzio hana inshu na wewe.
Unamgegeda/gegedwa lakini yeye ana wake wa kufunga nae ndoa na wakati huo ukifika atakwambia kwa kutumia ile style ya(akufukuzae hakwambii toka)
sisi watz mbumbumbu sana wa sheriaWhat? Miaka 7 ya unyuma na mpango wa ndoa haupo? Must be kidding!
chezea wanaume wewe eheeee anasubiri meli airportHaya ni matatizo jaman
Kuishi na mtu kiholela nayo ni hatar
Mungu utuongoze
chezea wanaume wewe eheeee anasubiri meli airport
kwa kweli mimi ni mzee sana ila sijawai kuwaza kuhamia kwa mwanaume bila utaratibu wa kueleweka ..hivi ukifa ghaflaUmeona eeeeeeeeeeeeh!
Anaona hakuna jipya jaman
Doooooooooooooh!
wapendwa na ishi ktk mahusiano ya kinyumba na mwenzangu zaidi ya miaka saba,lakini kila nitakapo mwambia tuoane hataki na mpaka sasa anaendelea kusimama katika msimamo wake huo huo,(malengo yangu nikutimiza sheria za dini ili tuishi kwa amani zaidi).mnani shauri nini jamani?