Ndoa

Husna Muba

JF-Expert Member
Jan 28, 2017
14,524
44,576
*KWA WANANDOATU *KITANDANI SI MAHALA PA KUNUNIANA JAMANI.*

*KITANDANI NI MAHALA PAKUSAWAZISHA MAUGOMVI YENU.*

: *KUNUNA WEKA PEMBENI. SIO KITANDANI*
*KITANDANI NI MAHALA PA:*

*KULA ULIWE*
*NIPE NIKUPE*

*MUME JISOGEZE KWA MWENZIE MKE HAL KADHALKA JIWEKE ZERO DISTANCE KWA MUMEO.*

*WACHENI KUPEANA MIGONGO UKU MWATAKA UTAMU.*

*YANINI KUJINYIMA RAHA WENYEWE*

*WACHENI MAMBO AYO.*

*YA MCHANA YASHAPITA.*

*KITANDANI UTAMU KWANZA.*

*KUNUNIANA KITANDANI HAKUJENGI, BALI KUBOMOA TU.*

*ZINGATIENI ILO.*

*NIISHIE APA: MDA UMETUTUPA MKONO.*

*AHSANTENI:*
 
kuchekeana mwisho saa 12 jioni,ikizidi hapo ni kuchoshana tuu usk ni muda wa kupumzika
 
Mimi niling'ang'aniwa na mwenzangu ambaye alitoka mikoani kuja kunitembelea hapa dar,siku moja nikamtania nikamwambia nakupeleka zanzibar my darling,akafurahi sana nikampeleka kigamboni tukachukua hoteli usiku huo nilipewa mahaba na nusu,alipokuja gundua nilinuniwa mwezi.
 
Ni kweli ila saa nyingine kitandani sio mahali pa kumalizia ugomvi kwa kweli mana unaweza kuta una hasira hata hamu kulala kitandani inaisha aisee
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hmmmm! Sijui huwa wanahamia kwenye mkeka!?

Ni kweli ila saa nyingine kitandani sio mahali pa kumalizia ugomvi kwa kweli mana unaweza kuta una hasira hata hamu kulala kitandani inaisha aisee
 
Dabby huwa anapenda sana kukimbilia threads na kuwa wa kwanza kucomment ila cha ajabu mpaka sasa hivi hajafika hapa bado!........Wajuzi wa mambo na masuala hebu nijuzeni kisa na mkasa please!!
 
Mimi niling'ang'aniwa na mwenzangu ambaye alitoka mikoani kuja kunitembelea hapa dar,siku moja nikamtania nikamwambia nakupeleka zanzibar my darling,akafurahi sana nikampeleka kigamboni tukachukua hoteli usiku huo nilipewa mahaba na nusu,alipokuja gundua nilinuniwa mwezi.
Wewe ulistahili kununiwa aisee! Sio kwa kumkatili mwenzako hivyo!!!
 
Dabby ni member mpya eeh.

Kama unamaanisha Daby mimi.

Huwa nakimbilia?? Mlikaa na nani mkashauriana Daby huwa anakimbilia? Kwa hiyo Daby ni mtoto anakimbilia kimbilia vitu? Kwa hiyo usipomwona Daby kwenye uzi fulani unalalamika?

Wewe Tongoza wanawake kwa gear zako usipitie Daby kujenga nao mazoea. Gear yako sio master sawa!
Mkuu twafadhali,nimetumia jina "Dabby" na siyo wewe ambae ID yako ni "Daby"!........hizi ni ID mbili tofauti kabisa!!
 
Back
Top Bottom