Kuzaa nje kwa aliyeolewa ni tabia mbaya sana, hapo mwanamke unajitukana mwenyewe, sasa wanao wakikuita malaya utawaona wabaya? Kwa ambaye hajaolewa ni sawa, na tena anaweza kuchagua anataka azae na nani kwa viwango anavyotaka. Lakini ukishaolewa uhuru huo hakuna. Ndio maana nasema huyo dada kajiharibia, kama alitaka kuolewa basi aolewe na mwanaume ambaye hata akija kuzaa nae watoto aweze kuwafurahia.