Mi nlishawahi kufanya kautafiti kangu binafsi, nikagundua kwamba ni kweli wanaume wengi wanatoka nje ya ndoa na kikubwa hasa kinacho wasukuma ni tamaa za miili yao tu ila wanawake nao wamo sana tu ila wanawake ni wasiri sana huwezi jua wanafanya kimya kimya na kwa umakini mkubwa sana no msgs no kufatanafatana ni kukutana na kumegana kila mtu anarudi kwao tena mapemaaa.