Ndoa za sasa laana tu

Ndoa za sasa laana tu

Ninafikiria kufanya ushawishi kwa makanisa yetu waweke kipengele cha probation kwamba ndoa iwe katika matazamio kwa miaka angalau mitano, then ndio mnarudi kanisani kipewa vyeti kamili.

Siku hizi ndoa hazieleweki hasa Dar. Ugomvi umalaya ulopitiliza kutohudumia familia na ushirikina.

Kila siku ni afadhari ya jana.

Nikishindwa ntaanzisha kanisa la shetani ili kwangu ndoa iwe kitu cha kawaida tu kama kuchat jf au wasap, ukichoka mnakuja au hata mnatuma wasap nawadelete kwenye register.

Najua wengi maneno yangu yamewaingia na nakaribisha matusi au pongezi, mwisho kabisa nakubaliana kabisa na [HASHTAG]#Pasco[/HASHTAG] kuwa tunahitaji biblia ya kiafrica ili issue kama hizi tuziaddress, uliona wapi eti muishi hadi kufa kwenu? We humchoki mkeo? Kila siku yeye tu ukilala yupo tu ukiamka ndo wa kwanza mchana huyohuyo dah.

Pangu Pakavu.
Unaonekana unahoja lakini uandishi wako kama ngonjera fulani hivi? Hata hivyo wanaotaka kuoa au kuolewa katika kizazi hiki ni wapumb..vu
 
Yaan hakuna kitu nakifurahia jaman kama ndoa nina mwaka wa nane ni raha tu unajua ndo ni ubunifu tu hasa kwa mwanamke na kuheshimiana usiiweke ndoa kama kituo cha police yaan unaiheshimu wee au kuogopa na ndo mwanzo wa kusalitiana ila mkiishi kirafiki kila mtu anachohitaji anamwambia mwenzie
Jaribu hiyoo
Mhhhhh akitaka 0714??
 
Hiyo ndiyo itakuwa mbaya zaidi maana kipindi cha matazamio kikiisha na mapenzi keshneii
 
Unaonekana unahoja lakini uandishi wako kama ngonjera fulani hivi? Hata hivyo wanaotaka kuoa au kuolewa katika kizazi hiki ni wapumb..vu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] ila wewe jamaa una vituko.
 
Hamna kitu kinachotesa watu wengi kama hizi ndoa za kikristo,eti hamuachani mpaka kifo why?(ningeomba kwenye kile kitabu waweke kipengele cha mkataba wa ndoa baada ya miaka mitano tunasaini tena.
 
Back
Top Bottom