halafu watu wenginne humu sijui wakoje mi nimetoa wazo langu tu maana nakutana nao sana hata sehemu ya kazi ninayofanya wanakujaga sana hao watu, haimaanishi na mimi ni mmoja wao nina mume jamani bila yeye sina raha. so msininunie, mpenzi wangu
kiwatengu niombee radhi shemeji
Erickb52 kanuna.
ila nimefurahi kupata mawazo yenu kwa tanzania wameumia waendelee kujificha tu