Majaribu2013
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 952
- 1,050
Yaani siku hizi kuna ndoa jaman kama ndoano vile ukimeza tu umeshanaswa. visichana vya siku hizi vitategesha kuolewa tu vikiolewa tu tayari mwenye ndoano anaanza kuvuta kuelekea nje, sasa uliyenaswa chagua kimoja tu ukatike mdomo au utoke nje majanga.
Mpasho no1. Yaani kwanza huyo mwanamke anayeolewa jaman mbona majanga, alivyo tugoigoi eti mtoto wa mjini hata kubeba mwiko ni kazi, ngozi bandia 100% nywele ndo usiseme katani tupu, ndo anaamka amekuvalia kabukuta kamtoto eti anaelekea jikoni kukuchemshia chai majanga tupu, akifika jikoni hakuna lolote kuchemsha chai masaa 2 tena kwa jiko la umeme/gesi ajabu sasa akija kukuletea hiyo chai yenyewe ni aibu. Mwanamke lazima awe na mwili wenye afya unaoweza kufanya kazi.
Mpasho no 2. Tangu uolewe umemupelekea mumeo maji mara ngapi bafuni ukamkaribisha karibu maji baba kwa hekima? Wanawake wa siku hizi kila kitu unaonyeshwa kwa kidole tu au house girl ndiye anashughulika, tutawala mno wa house girl sababu ya tabia zenu hizo. Eti haki sawa, acheni uongo tukienda kwa wanawake wanaojua kutumbembeleza mtakuwa mnaona watoto tu wakubwa na udhuru kila siku kumbe tumeshibaaaaaaa.
Mpasho no. 3. Jamani mwanamke mi nijuavyo ni chakula, usafi, kazi, utii na mapenzi ya moto pale kitandani. sasa unakuta kimwanamke yaani hizo sifa zote hakana, kitandani ndiyo ovyo kabisa uzuri wa bureeeeee! badilikeni tavunja ndoa mpaka zitakuwa hazivunjiki. Itaedelea