Ndoa yangu

Haya ni mambo yako binafsi. Kwanini lakini unaamua kuandika siri zako za ndani hapa jf. Hii sio tabia nzuri hata kidogo. Mwisho utaanza kutuambia jinsi mnavyogegedana hapa jamvini. Huu sio ustaarabu kabisa. Tumechoka.
 
hahahahaha... mzee wa hayatuhusu. kama huyo mmewe ni member huku, lahaula lakwata, kayataka mwenyewe.
 
Haya ni mambo yako binafsi. Kwanini lakini unaamua kuandika siri zako za ndani hapa jf. Hii sio tabia nzuri hata kidogo. Mwisho utaanza kutuambia jinsi mnavyogegedana hapa jamvini. Huu sio ustaarabu kabisa. Tumechoka.

hahha mkuu ulipotea najua hayanihusu
 
hongera sana...kwakweli huo ni zaidi ya mtihani ndoani
 
Mmmhh!! Sometimes yes sometimes no!! Sometimes tunajiangamiza wenyewe kwa kujifanya wasamaria,tunamapenzi ya kweli n.k. All in all nikupongeze tu kwa kuwa na moyo wa chuma buuuut angalizo tu inasemakana asilimia kubwa ya wanaoambukizwa UKIMWI ni wanandoa so be careful with your husband na endelea kumuombea awe salama!!!i
 
hongera kwa ujasiri wa uvumilivu!endelea hivyohivyo! taratibu atapunguza michepuko yake.unajua hawa wenzetu unavyozidi kumfuatiliafuatilia unazidi kumpa bichwa ndo anazidisha michepuko.lakini ukiamua kutomfuatiliafuatilia anajihisi anaibiwa mke anatulia taratibu .mungu azidi kukutia nguvu na awe nguzo yako
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…