Ilikuwaje kwa tuliopitwa tunapenda kujifunza kwa tulilopitwapole na hongera kwa kumsamehe. ila daha ingekuwa mimi sijui ingekuwaje, asante nimejifunza kitu kutokana na tatizo lako lilivyokuwa
duh hongera pia ila hapo atakua umempa adhabu tosha
Habari zenu wapendwa,
Namshukuru Mungu ananipigania.
Niwape fidback ya ndoa yangu .
Mume wangu alirudi ile ile tare 24 hakuwa na pasport wala document yyte inayoonesha siku alipowasili tanzania alizificha na mpaka leo pasport yake sijawah iona.
Kikubwa nashukuru kwa ushauri wenu kwani sikugombana nae lakini nilimweleza kuwa nafahamu aliingia lini nchini.
Nawashukuru wote mlionipm na kunishauri vizuri nimekuwa na moyo sana,sijishughulishi nae nipo bize na biashara zangu tunaishi kwa amani what I know time will tell!
Kuna siku kaniamsha akaniambia nimsamehe amebadilika nikamwambia usijali sina tatizo na wewe.
Ninachopenda kuwaambia wenzangu mlioko kwenye ndoa Muaminini Mungu,nimekuwa nikimwamini na ninamuona akinitetea sana.
Kama kweli umemsamehe toka ndani ya moyo wako Hongera sana. Muonyeshee upendo wa dhati, naamini atazidi kujutia dhambi zake na pia ataongeza upendo zaidi kwako. Njia Kuu ni njia Kuu..Tu...Michepuko ni Temporary...Big Up Mdada!

Nahisi anajirudi haimini kama naweza kuigno mambo yake na nikaonesha furaha bila kuyajali
huo ndo uvumilivu ndani ya ndoa hakuna ndoa isiyo na misukosuko
yeah hilo litakuwa linamfikirisha sana ...anajiuliza maswali mengi hapo
Asante wangu kuna watu walinishauri sana na nikawaelewa sasa hivi naishi kwa amani sijali michepuko yake naona nae kaanza kuikataa
huo ndo uvumilivu ndani ya ndoa hakuna ndoa isiyo na misukosuko
Aisee are you sure hatarudia tena huyo bazazi?