ndoa yangu ilinitesa

pozzyfaza

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2012
Posts
1,453
Reaction score
268
ni stori iliyotokea katika maisha yangu ambayo ni ya kweli na sito isahau,


wana jf nashukuru kwa wote mlio nipa ushauri na maneno yenye faraja na kunijengea amani nafcini mwangu. mungu awabariki
 
nimesoma minazi mirefu banana, nikasoma juhudi seco. tukiwa na kina niki mbishi. nimefanya kazi aviation hapo banana. kwa sasa nipo mkoani mbeya. nilikitana na mke wangu tukiwa ofic moja ya bro. wangu. nilimfundisha kazi, akawa mjuzi sana yy alikua secretary. baada ya hapo tukapanga kuoana na ni mm nilitoa bikra, nikapeleka posa kwao. nikaoa akawa wife. cku tunahamia katika nyumba ya kupanga iliyopo g/mboto ndio mabomu yalilipuka. maisha yakaendelea nikawa nafanya biashara ya cm nanunia cm dar nasafirisha mikoani. baadae nikakamatwa nikataifishwa mali zangu. hapo ndipo dunia ikawa chungu. nikafungu ofic yangu ya stationary, sasa bwana wife akaanza tabi ya
kupigiwa cm ucku nikimuuliza ananiambia rafiki, rafiki gani wa kiume anakupigia cm mke wa mtu saa cta ucku?
hapo haikutosha akaanza tabia ya kurud hme saa saba mar saa tano ucku.kuna cku alirudi saa saba nikaona usenge huu, nikaanza kumpa kibano c ndio msg ikaingi kwa jina la Ambloc anayeishi tegeta, hapo hacra ikazidi. maana msg ilikua inase
a hv. ucku mwema mpenz leo umenifurahisha.

AKAPIGA CM KWA NDUGU ZAKE

baada ya kichapo akapiga cm kwa dada zake na kuwaambia nimempiga bila kosa. hao shemeji zangu c kwanivutia uzi na kuniporomoshea matuc, inampiga mdogo wetu kwa mahali gani uliyo toa, ukiangalia wawo hawajaolewa, hatimaye wakamjaza ujinga.

kesho yake narudi toka job nakita kabeba pesa zote zilizokuwepo home. hapo ndipo nilizimia kwa mara ya kwanza na kutaka kujiua. akaenda kwao kaka kama wiki mbili zen akarudi kwangu. lakini nilikataa kumpokea ikabidi tukutane ndugu wa pande mbili tukazungumza hatimaye akarudi kwangu

MIEZI 3 BADAE

Akarudia tabia akarudi saa8 ucku. kumbe aliletwa na bwana mwingine anayekaa njia panda segerea, cki hiyo nikampa kipigo tena.

ASUBUHI KAPIGA CM KWA MZEE WANGU

asubuhi akapiga cm kwa mshua na kutaka suruhisho la kivunja ndoa yetu, kumbuka alikua na mimba yangu ya miezi2 japo aliamua kuitoa. wazee wakaja wakamuuliza baada ya kuachana anataka nini kutoka kwangu? akachagua vitu vyote. wazazi wangu wakanishauri nimpe kila kitu. ikabidi nitoke mm ktk nyumba kama vle mm ndiye mwanamke nimepewa taraka. nikarudi kuanza upya maisha kwa mzee wangu nikiwa na mabegi yangu.

Baada ya mwaka nikaoa

nikafanya biashara ndogo ndogo, nikapata mtaji wa kutosha, nikanunua gari nikiwa na huyu mke wa pili. sasa kackia nimefanikiwa akaanza tena fujo kutaka kuvunja ndoa ya sasa, ikanibidi nihame dar na kuhamia mbeya. lakini hachoki kunisumbua. hiyo ndio ndoa yangu
 
itaendelea

Acha kuiga tembo kuchamba.....Itaendelea kwani hii ni story ya kwenye magazeti ya udaku????????????? Waulize wenzio kwa nini wanaandika itaendelea, hope utafunzwa kitu.
 
Hahahah.
Eti aliporudi ile mara ya kwanza alirudisha zile mbesa alizosepa nazo?
 
hivi watu wakiachana nani anatakiwa aondoke home
 
mwanamke, lakini huyu alitaka mali.
 
Yaani umehakikisha anarudishwa usiku na bwana unamfungulia mlango tu,wewe nawe kiboko
 
pozzyfaza sijui kama habari hii ni ya kweli kabisa au laaa, ila kama ni kweli hauhitaji kwa namna yeyote ile kuishi maisha ya kuhama hama kumkimbia mtu. Kama mliachana kwa kufuata taratibu zote na kupeana talaka, kinachokufanya uishi maisha ya hofu ni nini? Utajenga familia yako lini kama utakuwa mtu wa kukimbia ovyo? Huyo mkeo mpya ulishamwambia historia ya maisha yako na huyo dada? Maana kama anafahamu japo kidogo kwamba ulikuwa na mke makaachana haina haja ya kuogopa chochote tena.

Cha kujifunza ni kuwa mapenzi ni complex sana, na tabia haina dawa. Kukutana na msichana na kumfungua usichana wake si sababu tosha ya kumfanya awe mwaminifu kwako. Ni bora umemuacha maana angeendelea kuwa majanga kwenye maisha yako Huyo uliyenaye kwa sasa inaonekana unaishi naye vizuri. Tulia naye na huyo mwingine mpuuzie tu kwa harakati anazoendelea nazo, iko siku atachoka.
 
pole sana misukosuko ni kutu cha kawaida sana katika maisha kinachotakiwa ni kukabiliana nayo endeleza maisha yako na usiogope mwambie mkeo wa sasa ukweli ili ajue maana itakujengea uhusiano mzuri na mke mpya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…