Hahahaaaa duuuh...hatare af kinaonekana kindugu changu hichi lkn kina mambo ya ovyo hadi sijakipenda
wapi ww? Lupila, lugarawa, ilembura au
Watu wamemdukua, hii inabore sana. Kuna watu wanaumiza vichwa kutoa ushauri kumbe story ya kutengenezwa halafu mtu kajivika uhusika.
CIA? au shigongo
mtu makini hujadili issues , poor minds hujadili watu
Pole sana Ila Alichokiunganisha Mungu, mwanadamu hawez tenganisha, Talaka sio suluhisho kaka je umemwambia ayo yte yanayokukereketa na hakubadilika?
umeoa lini ??
story zako hazina series nzuri
ha ha ha ha ha ha ha ha
shule umemaliza lini dogo ?
lakin sheeda na talaka inanukia