Ndoa Ya Uzeeni

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,113
Reaction score
34,953



Tangu jadi mapenzi hayatambui umri, rangi wala kabila. na ndio maana katika eneo la maralal mzee wa miaka 90 alifanya harusi na mkewe aliye na umri wa miaka 80.Ilikuwa sherehe maalum iliyojawa na kila aina ya furaha kati ya wapendanao waliojaaliwa watoto
 
Last edited by a moderator:
Upuuzi mtupu miaka 60, wamekumbuka leo halafu mahari walipe watoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…