Hapo mbn anaeleweka Tu..ni huyo mwenye bleachJamani!
Sasa mke ni yupi kati ya hao wawili?
Asee watoto wakali huku mitaani walivyojaa na jinsi wanavyovutia,alafu nikagonge mwanaume mwenzangu..never!!Hapo mbn anaeleweka Tu..ni huyo mwenye bleach
Jamani!
Sasa mke ni yupi kati ya hao wawili?
Dunia ina mengi sana aseenami nilijiuliza hili swali
Yaan ukaona bila kunitag hutoridhika na moyo wako? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mhhh! [emoji2960]Inahitaji moyo wa chuma kumla/kuliwa na mwanaume mwenzako. Namshukuru Mwenyezi kwa kuniepusha na hisia za kishetani kama hizo.
cocastic njoo utie neno hapa. Huu uzi usipite kirahisi tu bila ya kuchangia chochote.
Umesha ambiwa ndoa ya jinsia moja wewe unatafuta mke? Kama wangetaka mwanamke wangeoa mwanamke ila hawaja zaliwa na hisia hizo. Wabongo mnachosha na small mindedness zenuJamani!
Sasa mke ni yupi kati ya hao wawili?
Umesha ambiwa ndoa ya jinsia moja wewe unatafuta mke? Kama wangetaka mwanamke wangeoa mwanamke ila hawaja zaliwa na hisia hizo. Wabongo mnachosha na small mindedness zenu