MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 10,253
- 22,320
- Thread starter
-
- #21
Mkuu kwa jinsi ulivyojibu kwa facts huku ukitupia vifungu vya biblia nimeona nisiseme lolote kwa hizi comments zako zaidi ya kukupa heshima. Nimeona nikubaliane kutokukubaliana. Wewe una hoja nzito kwahiyo kwa upande wangu nimeona nisubiri comments nyingine kama hizi zako ili nami nizidi kujifunza na kuchimba zaidi.Hakuna mahali Biblia inapokataza mkristo wa kawaida kuoa mke zaidi ya mmoja. Angalizo limewekwa kwa Askofu na Shemasi hawa ndio wameshauriwa kuwa na mke mmoja, wengine wasio na vyeo hivyo ni ruksa kuwa na mke zaidi ya mmoja. 1 Timotheo 3:1-7 na 1 Timotheo 4:1-5
Ni neno la kuaminiwa; mtu akitaka kazi ya askofu, atamani kazi njema. Basi imempasa askofu awe mtu asiyelaumika, mume wa mke mmoja , mwenye kiasi na busara, mtu wa utaratibu, mkaribishaji, ajuaye kufundisha; si mtu wa kuzoelea ulevi, si mpiga watu; bali awe mpole; si mtu wa kujadiliana,
Comment za hivi napenda sana. Zinachangamsha akili. Najipanga kukutafutia majibuMwanzo 4:23
Lameki akawaambia WAKE ZAKE, “Ada na Sila sikieni sauti yangu! Sikilizeni nisemayo enyi WAKE za Lameki.
Mwanzo 32:22
Usiku huohuo Yakobo akaamka, akawachukua WAKE ZAKE WAWILI, wajakazi wake wawili na watoto wake kumi na mmoja, akapita kivuko cha Yaboki...
Ongeza na Kumbukumbu la Torati 14:22-28 unaona kabisa Mungu hajazuia watu kunywa vileo pamoja na wachungaji. Neno lasema hivi:Mwanzo 4:23
Lameki akawaambia WAKE ZAKE, “Ada na Sila sikieni sauti yangu! Sikilizeni nisemayo enyi WAKE za Lameki.
Mwanzo 32:22
Usiku huohuo Yakobo akaamka, akawachukua WAKE ZAKE WAWILI, wajakazi wake wawili na watoto wake kumi na mmoja, akapita kivuko cha Yaboki...
Unamaanisha maandishi yaliyoletwa kwetu na mleta mada yamekosewa?Kipi bora
Kuwa na mke wa ndoa na bibi wa kando mliozaa na mchepuko aliyenasa?! Au kuwa na wake watatu wanaotambulika kimila/kisheria?!
Nashauri
Bora uwe mchawi ili upate muda mzuri wa kufanya shirki kuliko mara upo ibadani ila unawaza umloge sheikh/mchungaji usiku
Bora uwe mnywaji na mla mdudu kuliko kuwa kwenye nyumba ya ibada huku ukijua hakuna unachofanya/unachokipata pamoja na kuattend
Na wataongezeka zaidi baada ya watoto wa shule kuruhusiwa kufanya yao na kuendelea na masomoHali ya uchumi kwa mwanaume inapoyumba na uzinzi kwa mwanamke imekuwa ndiyo chanzo kikuu cha kuvinjika kwa ndoa. Wanandoa wa siku hizi hawana uvumilivu licha ya ndoa kufungwa kwa gharama na ufahari wa anasa. Single mother wanaongezeka kwa kasi ya ajabu wala viongozi wa dini hawana ubavu wa kukemea kuachana kwa wanandoa
Huwezi kung'amua hili kwa fikra zako.Wakristo bana, sijui walokole kwani kwenye biblia unayotumia kuna sheria mahususi kwa waisraeli na mahususi kwa binadamu wote? Unazitofautishaje? Mfano kutokula kitimoto ni ya israeli au ya wakristo wote?
Upo vizuri sana mkuu, nahitaji zaidi madini ya namna hii..Hakuna mahali Biblia inapokataza mkristo wa kawaida kuoa mke zaidi ya mmoja. Angalizo limewekwa kwa Askofu na Shemasi hawa ndio wameshauriwa kuwa na mke mmoja, wengine wasio na vyeo hivyo ni ruksa kuwa na mke zaidi ya mmoja. 1 Timotheo 3:1-7 na 1 Timotheo 4:1-5
Ni neno la kuaminiwa; mtu akitaka kazi ya askofu, atamani kazi njema. Basi imempasa askofu awe mtu asiyelaumika, mume wa mke mmoja , mwenye kiasi na busara, mtu wa utaratibu, mkaribishaji, ajuaye kufundisha; si mtu wa kuzoelea ulevi, si mpiga watu; bali awe mpole; si mtu wa kujadiliana, wala asiwe mwenye kupenda fedha;
1 Tim 3:1-3 SUV
1 Tim 3:1-3 Ni neno la kuaminiwa; mtu akitaka kazi ya askofu, atamani kazi njema. Basi imempasa askofu awe mtu asiyelaumika, mume wa mke mmoja, mwenye kiasi na busara, mtu wa utaratibu, mkaribishaji, ajuaye kufun | Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwa
Ni neno la kuaminiwa; mtu akitaka kazi ya askofu, atamani kazi njema. Basi imempasa askofu awe mtu asiyelaumika, mume wa mke mmoja, mwenye kiasi na busara, mtu wa utaratibu, mkaribishaji, ajuaye kufunbible.com
Vivyo hivyo Biblia haijakataza unywaji wa vileo na divai. Askofu hatakiwi kuwa mlevi bali awe mnywaji wa kiasi, vivyo hivyo na shemasi. Katazo hili haliwagusi wakristo wa kawaida ila nao kistaarabu wanatakiwa kunywa kiasi ili waweze kujikontroo.
Ukisoma 1 Timotheo 4:1-5 unaona Paulo anatahadharisha kuwa kutakuwa na wapotoshaji wanaozuia watu kuoa na kula baadhi ya vyakula. Neno ni hili;
Basi Roho anena waziwazi ya kwamba nyakati za mwisho wengine watajitenga na imani, wakisikiliza roho zidanganyazo, na mafundisho ya mashetani; kwa unafiki wa watu wasemao uongo, wakichomwa moto dhamiri zao wenyewe; wakiwazuia watu wasioe, na kuwaamuru wajiepushe na vyakula, ambavyo Mungu aliviumba vipokewe kwa shukrani na walio na imani wenye kuijua hiyo kweli. Kwa maana kila kiumbe cha Mungu ni kizuri, wala hakuna cha kukataliwa, kama kikipokewa kwa shukrani;
1 Tim 4:1-4 SUV
1 Tim 4:1-4 Basi Roho anena waziwazi ya kwamba nyakati za mwisho wengine watajitenga na imani, wakisikiliza roho zidanganyazo, na mafundisho ya mashetani; kwa unafiki wa watu wasemao uongo, wakichomwa moto dhamir | Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwa
Basi Roho anena waziwazi ya kwamba nyakati za mwisho wengine watajitenga na imani, wakisikiliza roho zidanganyazo, na mafundisho ya mashetani; kwa unafiki wa watu wasemao uongo, wakichomwa moto dhamirbible.com
Huwezi kung'amua hili kwa fikra zako.
Hajakosea, nimetumia kama mtizamo tuUnamaanisha maandishi yaliyoletwa kwetu na mleta mada yamekosewa?
INjili ni habari njema kwa wtu woteWakristo bana, sijui walokole kwani kwenye biblia unayotumia kuna sheria mahususi kwa waisraeli na mahususi kwa binadamu wote? Unazitofautishaje? Mfano kutokula kitimoto ni ya israeli au ya wakristo wote?
Swali lililoulizwa hili sio jibu lake ingawa statement yako ni sahihi kutegemeana na aina ya injili yenyeweINjili ni habari njema kwa wtu wote
Ni jibu sahihi kabisa, maana biblia hawakuandikiwa waisrael tu!Swali lililoulizwa hili sio jibu lake ingawa statement yako ni sahihi kutegemeana na aina ya injili yenyewe
Kupitia hili neno nimepata vitu vizuri kuhusu fungu la 10.Ongeza na Kumbukumbu la Torati 14:22-28 unaona kabisa Mungu hajazuia watu kunywa vileo pamoja na wachungaji. Neno lasema hivi:
"Usiache kutoa zaka ya fungu la kumi katika maongeo yote ya mbegu zako, yatokayo shamba mwaka baada ya mwaka. Nawe utakula mbele za BWANA, Mungu wako, mahali atakapochagua apakalishe jina lake, zaka ya nafaka zako, na divai yako, na mafuta yako, na wazaliwa wa kwanza wa makundi yako ya ng’ombe na ya kondoo; ili upate kujifunza kumcha BWANA, Mungu wako, daima. Na njia ikiwa ndefu mno nawe, usiweze kuzichukua kwa kuwa mahali ni mbali nawe mno atakapochagua BWANA, Mungu wako, apakalishe jina lake, hapo atakapokubarikia BWANA, Mungu wako; ndipo uzibadili ziwe fedha, na kufunga zile fedha uende nazo mkononi mwako, hata mahali atakapochagua BWANA, Mungu wako; na zile fedha zitumie kwa cho chote itakachotamani roho yako, ng’ombe, au kondoo, au divai, au kileo, au roho yako itakacho kwako cho chote; nawe utakula huko mbele za BWANA, Mungu wako; tena furahi, wewe na nyumba yako; na Mlawi aliye ndani ya malango yako usimwache, kwani hana fungu wala urithi pamoja nawe.
Kum 14:22-27 SUV
Kum 14:22-27 Usiache kutoa zaka ya fungu la kumi katika maongeo yote ya mbegu zako, yatokayo shamba mwaka baada ya mwaka. Nawe utakula mbele za BWANA, Mungu wako, mahali atakapochagua apakalishe jina lake, zaka ya | Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitw
Usiache kutoa zaka ya fungu la kumi katika maongeo yote ya mbegu zako, yatokayo shamba mwaka baada ya mwaka. Nawe utakula mbele za BWANA, Mungu wako, mahali atakapochagua apakalishe jina lake, zaka yabible.com
Umeelewa vyema sana. Fungu la kumi linatolewa popote pale ambapo roho yako itakuwa na amani napo maana Bwana ndio atakuwa amepachagua. Makanisa yamekuwa yakilazimisha waumini wapeleke fungu la kumi makanisani na hiyo ndio imefanya ionekane kuwa sadaka hii wanaoitaka ni wachungaji na sio Mungu mwenyewe (yaani wanafaidika nayo). Makanisani kwenyewe wamekuwa wakiing'ang'ania kuwa ni yao (wachungaji) maana imenenwa kuwa Walawi hawana kazi nyingine hivyo fungu la kumi ni lao. Kujenga hoja yao ya kuleta fungu la kumi hutumia mstari huu wa Malaki 3:10-11Kupitia hili neno nimepata vitu vizuri kuhusu fungu la 10.
1. Ilikuwa lazima litokane na shamba aka mazao etc
2. Lazima liwe la. Mwaka to mwaka sababu ni la shamba na sio mwezi to mwezi kama makanisa ya Sasa yanavyotufundisha.
3. Ilikuwa sio fedha ilikuwa ni mazao sababu tangu mwanzo Alisema ni shamba.
4. Ilibadilishwa kuwa fedha pale tu unayempelekea ambaye ni Mjane au Malawi yuko mbali na huwezi kuvibeba
5. Ilikuwa ni kwa ajili yako Malawi na wajane na wasiojiweza. Hii ya kulaizmishana kupeleka Church ilianza wapi???
So kuna fungu la 10.la Mungu aliloagiza na fungu la 10.la makanisa ya Sasa ambalo sijui lilitoka wapi.
Acheni kupotosha kwa hiyo huko hospital ni nyumbani kwa Bwana?Umeelewa vyema sana. Fungu la kumi linatolewa popote pale ambapo roho yako itakuwa na amani napo maana Bwana ndio atakuwa amepachagua. Makanisa yamekuwa yakilazimisha waumini wapeleke fungu la kumi makanisani na hiyo ndio imefanya ionekane kuwa sadaka hii wanaoitaka ni wachungaji na sio Mungu mwenyewe (yaani wanafaidika nayo). Makanisani kwenyewe wamekuwa wakiing'ang'ania kuwa ni yao (wachungaji) maana imenenwa kuwa Walawi hawana kazi nyingine hivyo fungu la kumi ni lao. Kujenga hoja yao ya kuleta fungu la kumi hutumia mstari huu wa Malaki 3:10-11
Leteni zaka kamili ghalani, ili kiwemo chakula katika nyumba yangu, mkanijaribu kwa njia hiyo, asema BWANA wa majeshi; mjue kama sitawafungulia madirisha ya mbinguni, na kuwamwagieni baraka, hata isiwepo nafasi ya kutosha, au la. Nami kwa ajili yenu nitamkemea yeye alaye, wala hataharibu mazao ya ardhi yenu; wala mzabibu wenu hautapukutisha matunda yake kabla ya wakati wake katika mashamba, asema BWANA wa majeshi.
Mal 3:10-11 SUV
Mal 3:10-11 Leteni zaka kamili ghalani, ili kiwemo chakula katika nyumba yangu, mkanijaribu kwa njia hiyo, asema BWANA wa majeshi; mjue kama sitawafungulia madirisha ya mbinguni, na kuwamwagieni baraka, hata isiw | Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwa
Leteni zaka kamili ghalani, ili kiwemo chakula katika nyumba yangu, mkanijaribu kwa njia hiyo, asema BWANA wa majeshi; mjue kama sitawafungulia madirisha ya mbinguni, na kuwamwagieni baraka, hata isiwbible.com
Kimsingi, neno kuu ni kuwa usiache kutoa fungu la kumi kwa Mungu, mahali pa kutoa ni popote pale Bwana atakapopachagua (yaani pale ambapo utatoa huku moyo wako una amani), inaweza kuwa ni hospitali, kwa wajane, kwa yatima au nyumbani kwako mwenyewe au kanisani nk sio lazima upeleke kanisani