Ndoa ya Messi na funzo lenye imani na msimamo

Imani, uaminifu, na uvumilivu kwangu naamini katika kazi zangu tuuu na siyo vinginevyooo....
 
wanawake wa kibongo ukimtongoza tu anaulizia harusi lini.. huku messi wameishi kinyumba kwanza na mtoto juuu.. ndoa ndio ya mwisho
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] inawezekana bhana si msimamo tu Wa bint
 
Hongera zao, Hata waafrika wapo waliodate tangu wadogo na ukubwani wakaoana, ni vile tu hawajaandikwa popote.
Kweli kabisa mfano mie pia ni kama hivyo sema sina pa kuandikwa [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6]
 
Nimeipenda mno
 
Duuuh itakuwa Messi alikula bikra
Mimi siwezi kurudi kwa alienisaliti
Asingefariki huyo mpenxi wake?
All in hongera Messi maana ni ujasiri huu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…