Ndoa ya Messi na funzo lenye imani na msimamo

Messi alivyoondoka shemela akaanza kuliwa na jamaa mwingine kumbe....miaka tisa ndio wameanza mapenzi acha wazungu wawe wazungu hapa mtaani kwetu anzeni na miaka tisa au hiyo 13 waliyoanza rasmi wajue wakipata mimba shule imeisha!
 
Mkuu umesimulia kwa namna ya kuvutia sana....

Safi na ahsante sana....
 
Only in ulaya na kwenye movies kibongo bongo asee sijuuuii...hahhahaa hongera sana kwa Mess na family yake.
Tatizo mumu, unawapata wote vitenesi. wanadunda kila kona 😉😉😉
 
Tatizo mumu, unawapata wote vitenesi. wanadunda kila kona 😉😉😉
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] siyo lazima yanikute mm mkuu,naona kwa ndugu,jamaa na marafiki...Mimi niko single but not lonely for 2yrs now so nabaki kushauri watu na kutuliza madonda yao[emoji13] [emoji13] ila daah,haya bwana.
 
Kama ni kweli pole sana ndugu, Allah akufanyie wepesi
 
Mesi yeye hakuchepuka? Wakti mpenzi wake akichepuka kwa miaka mitatu
 
Kwa hiyo Messi kwa umaarufu wake wote kaonja mbunye moja tu? I don't buy that, naona story ya mkewe kushindwa kujizuia, ila ya Messi sijaiona.

Kwa umaarufu wa huyu mtu, ingekuwa mwingine kama mimi ningezitafuna uncontrollably kabla ya kujipumzisha kwa wife.
 
Yeeh...ni Shule tosha hii..

The Bold na Niffah, wanahusika hapa..

Kujeni huku, mtuoneshe japo KIAPO kwanza, tupate uhakika wa KUSHONA SUTI..
 
wabongo ambao wapenzi tangia utotoni na wanakuja oana wapo bhana mbna me nishashudia sana tu washikaji zangu kibao tuu......
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…