Ndoa ya Messi na funzo lenye imani na msimamo

demu uvumilivu ulimshinda akagawa bikra kwa mwanachuo mwenzake
 
Huku kwetu wapo watu kama hawa lakini wachache, mara nyingi mmoja anaweza kulitunza penzi mwingine akashindwa
 
Sasa wewe binti unayesoma hapa nenda kashike mimba kwa kukudanganya yeye ni Messi! Utalea na wa kwenu...
 
Somo nililoliona hapo ni kwamba messi anatawaliwa na mkewe na aligombezwa sana kwa umbea wa kutangaza kuhusu harusi yao
 
Na watoto wawili tayari!
It's a beautiful love story.
 
Katika watu ambao hamumuelewi mesi asee mnahangaika mno.


Ushaambia huyu sio kiumbe wa dunia hii, sasa wewe unakazana kujifunza kwa mtu ambaye si wa dunia hii??

Huenda kapata kiumbe chenzake
Miaka 29 uliona wapi eti mwanamke katembea na watu wawili tuu???

Thtbuuuuuuuuutu
 
Ukiwa domo zege kama Messi lazima usifiwe historia yako nzuri
 
Hongera zao, Hata waafrika wapo waliodate tangu wadogo na ukubwani wakaoana, ni vile tu hawajaandikwa popote.
 

Nikupe pongez la kuelezea vema huyu mtaalamu wa soka mtu mwenye kipaji chake. Kingine kwann usifungue blog yako na kuelezea mastaa wa nje kwan utapata pesa kwa kuweka matangazo. Nimependa sana ilivyomuelezea maana ni mchezaji ninae mfwatilia sana lakin sikujua haya yote uliyoelezea. BigUP
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…