Ndoa ya kwanza kati ya Mbwa na Mwanadamu yafungwa jimboni California nchini Marekani!

Status
Not open for further replies.
Mbona source ziko nyingi tu.
Rafiki source iko moja tu - ni ile ya tovuti ya dhihaka "National Report". Ila tu internet jinsi ilivyo unaona tovuti na mablogu maelfu wamekopi stori (au: wamekopi kopi za kopi za kopi.....)
 
In case hamjagundua hadi sasa hiyo picha ni fake.. photoshopped kwa wale adobers...
Japo ni kweli ndoa za binadamu na mbwa zipo, na mara chache zimesikika developed worlds, mbwa, mwingine farasi, nyoka, ng'ombe... Ni mataira tu wameharibiwa na pornography hakuna kingine.. Afu hakuna sheria duniani inayo ruhusu hii kitu, so ni ukiukwaji wa sheria
 
Hii dini inakufa hii, aminini nawaambia. Nimepitapita nchi kadhaa za ulaya, America na Asia, hali za makanisa zinatia huruma. Kumebaki vikongwe tuu ndio wanaenda kanisani wakati ukipita misiktini hali ni tofauti sana. Kifupi kwa sasa hii dini imebakia Afrika tu na ukizingatia maendeleo ya teknolojia ambapo kila kitu hadharani, hata wale "waliolala" watakuja kujua kwamba huku kuna usanii wa dunia tu, Mungu atuepushie na zahma za namna hii kahtan jiandae kumpokea ndugu yako Eiyer

Dini gani hiyo unaizungumzia??
 
Sasa naelewa kwa nini uliandika vile...

Labda nikuulize maswali haya mkuu...

1. Ukristo ni nini?

2. Kwa nini Yesu mwana wa Yusuph hutambulika kama Yesu Kristo?

3. Wakristo ni watu wa imani gani?

4. Kama Paulo ndiye aliyeanzisha Ukristo, iweje Paulo huyo huyo akiitwa kwa jina la Sauli alikuwa akitumika kuwaua Wakristo wa kwanza?

Hao Wakristo waliouawa na Sauli walitokea wapi?

1)ukristo ni nini?

ukrusto ni dini iliyo na msingi katika maisha na mafundisho ya yesu kama yalivyo wasilishwa kwenye agano jipya chini ya mpotoshaji mkubwa paulo(satan in flesh)

2)kwanini yesu hutambulika kama yesu kristo.

Neno kristo kutoka katika asili ya kigiriki na kiyahudi maana yake ni MPAKWA MAFUTA.hiyo ni title nyingine kama ile ya YESU WA NAZARETH.

3)wakristu ni watu wa imani gani.

wakristu ni watu wanaoamini yesu ni mungu,yesu ni wana wa mungu,mungu alimtoa mwana wa pekee ili aje aukomboe ulimwengu.yesu alikufa msalabani kwa ajili ya zambi zao kwani andiko lazima litimie.Nakadhalika...........chini ya mpotoshaji mkubwa paulo (satan in flesh).

4)kwanini paulo aliuwa wakristu.

Academically. judea(Jerusalem),damascus,(syria) yote haya yalikua katika majimbo ya Roma na yaliendeshwa kwa sheria za Roma na kila jimbo lilikua na gavana wake.sheria za Roma zilivumilia imani zingine.(hakukua na mauwaji ya wakristu kipindi kile).fikilia mtu anatoka jerusalem mpaka syria akiwa amejihami kwa document kutoka katika mahakam ya kidini(sanhedrin) kwenda kukamata watu na kuuwa .hata sauli kwa uraiya wake wa roma hakua na haki ya kukamata watu na kuuwa .so hayo mambo ya kuuwa watu ni story zake za kutunga.sauli(satan in flesh.

Naomba na mimi unielimishe haya.

1)kwanini kwenye biblia hakuna recodi ya kifo cha paulo(satan in flesh)

2)kwanini agano jipya hakuna injili ya Barnaba.

2)kwa nini israeli ambapo yesu alizaliwa wakristu ni asilimi ya mwisho kabisa baada ya wayahudi na waislam,tofauti na maeneo mengine?
 
Hujajibu swali wewe unajifanya haujaliona Hilo swali au haujalielewa mpaka Uje na maswali mengine mengi?

Umesema Paul ndio alie anzisha Ukristo! Iweje huyo huyo Paul km mwanzilishi Wa Ukristo atumike kuwaua wakristo? Hapo maana hake ni kwamba kabla ya Paul kua mkristo au kua muhubiri kulikua tayari na wakristo na ndio maana akatumika kuwaua!
Sasa Kwanini udai kua Paul ndio mwanzilishi Wa Ukristo? Na wakati huo alitumika kuwaua wakristo?

Toa majibu ktk hii hoja sio Uje na maneno mengi vinginevyo unajidanganya na story za kwenye kahawa!
 
Leo Paul amekua sio muuaji! Kah!!! Yani mauji ni maneno tu ya kutunga Paul!!!!!! Kah!!!!!!!
 
wakati anawaua ukristo haujaanza..ukristo umeanza baada ya saul kuwa paulo,huko antiokia.
 
mnakasha umeanza vizuri tu tena kwa kuheshimiana baina yangu na watu8.hilo neno story za kwenye kahawa.patachafuka sasa ivi,wewe sintokujibu hili swali lako mpe watu8 na ntuzu hao ndio ntakao wajibu.huna hulka ya kufundisha wala kujifunza
 
Wale wanafunzi Wa Yesu sio Kama walikua wakristo? Maana ukiwa mfuasi Wa Yesu ni mkristo! Na Yesu alikua na wafuasi wengi alipokua hai na alipoondoka! Hao ndo wakristo Wa awali kabla ya Paul na ndio Paul aliowaua!

Sasa Ukisema Paul ndio mwanzilishi Wa Ukristo it doesn't make sense!
 
Leo Paul amekua sio muuaji! Kah!!! Yani mauji ni maneno tu ya kutunga Paul!!!!!! Kah!!!!!!!

mkuu please be atentive.hapo juu nimesema academically sio biblical.kibiblia inasema aliuwa.history proves not.sasa u should correct me wrong kama nilichosoma si sawa.

vilevele kama history ilivyoprove wrong juu ya kusulubiwa kwa yesu.
wanasema haikuwai kulikodiwa katika historia isreli jua kuzimika mchana na kiza kutanda.no such event happend.

kusulubiwa ni kweli kulikuepo ika aliyesulubiwa alikufa siku ya pili sio ndani ya masaa machache kama ikivyotokea kwa yesu.hayo ni mambo ya historia
 
Wamelaaniwa maana wana macho lakn hawaon wana masikio lakn hawasikii ......
.hiyo siyo bureeeeeeee taifa lile limelaaniwa. ......... .

KWA JINA NA YESU ATUSAMEHEE WAKOSEFU MAANA HAKUNA DHAMBI KUBWA WALA NDOGO.
 
mnakasha umeanza vizuri tu tena kwa kuheshimiana baina yangu na watu8.hilo neno story za kwenye kahawa.patachafuka sasa ivi,wewe sintokujibu hili swali lako mpe watu8 na ntuzu hao ndio ntakao wajibu.huna hulka ya kufundisha wala kujifunza

Hapo nyuma watu8 amekuweka sawa ktk matumizi ya lugha Mbaya Kwasababu wewe umeweza kumuita Paul shetani na Ukristo wote kwa ujumla ukasema kua sio dini! Mimi kusema story za kwenye kahawa naonekana nimetumia lugha Mbaya! Hii inaonesha kwamba umekosa Jibu!

Narudia tena Paul atakuwa vipi mwanzilishi Wa Ukristo wakati huohuo anatuhumiwa kwa mauaji ya wakristo Wa awali wakati akiwa Sauli?

Jibu kwanza hili usikimbie kuchafua Uzi!
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom