E Emma M. JF-Expert Member Joined May 15, 2009 Posts 204 Reaction score 6 Jan 8, 2010 #1 Bado sheria kuhusu ndoa ya jinsia moja inazua utata nchini Uganda. Eti wapo watetezi wa ndoa hizi hawataki sheria kali. Hapo hapo Ureno imepitisha sheria ya jinsia moja huko ulaya. Sijui hili likoje kwa nchi nyingine za Afrika.
Bado sheria kuhusu ndoa ya jinsia moja inazua utata nchini Uganda. Eti wapo watetezi wa ndoa hizi hawataki sheria kali. Hapo hapo Ureno imepitisha sheria ya jinsia moja huko ulaya. Sijui hili likoje kwa nchi nyingine za Afrika.