Ndoa ya bomani

Kama yuko nchini kihalali, hakuna tatizo.


Samahani wanajamii wa Tz, naomba kuuliza kama kuna mtu anafahamu, JE naweza funga ndoa ya bomani na mtu asie mtanzania!!
 
I
hiyo impediment marriage no. Inapatikana vipi?
 
I

hiyo impediment marriage no. Inapatikana vipi?

Mkeo mtarajiwa ndo lazima awe nayo maana yeye ndo siyo raia so taarifa zake hazipo nchini.

Anaipata kutoka nchini kwao
 
KWani mzee Reginand Abraham Mengi na Kiln walifungia ndoa wapi kweli? Nje ya nchi huko na ilikua bomani huko huko sio kanisani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…