said reuben
Member
- Dec 22, 2018
- 62
- 28
Jamani mm nilikua naomba kujua mtu akitaka kufunga ndoa ya bomani anafata taratibu gani.. Maana kuna mtu kaniambia nilete copy ya passport ya mwanamke booking ticket na cheti changu cha kuzaliwa nimepeleka cha kushangaza Anataka nilipie laki na nusu kwa sabab Anataka kunisaidia wakat I nasemekana ni 50 tu na unatakiwa utoe taharifa siku 21 kabla...