Kumbe alichota mali ya wenyewe?Ndio shida ya kuoa wake za watu
Punguza ukali wa manenoDaah kagongewa π€£π€£
dahNdio shida ya kuoa wake za watu
29 June ..Alikamwe amekaa kushabikia timu yake huku akisahau wajibu wake kwa mkewe bwana alikamwe anadai kuwa mkewe alimcheat ππ
Ndoa sio kitu cha kukimbilia hovyohovyo ndoa hata miezi 3 haijaisha πππ π
Au mwanetu hapigi vizuri maana ad mke kaamua kumcheat maana ake alikamwe hajui kuipiga vizuvizuri nini?
Najua alikamwe umo humo bro hudhuria vikao vya wanaume wenzako.
View attachment 3472782
Ukali upi sasa, si katombewa!?Punguza ukali wa maneno
Kolombwanji hao.Huyu Ali kawafanyia nini π, leo kuanzisha nyuzi mmeamua tangu kumekucha
Kwani jamaa ana tatizo gani maana naskia hii ni ndoa ya pili au ya tatu. Ni bahati mbaya anaokota mabomu au ana tatizo mahali?
ππ inabidi jamaa alielia sana siku ya harusi aulizwe, atakua na siri za bwana harusi.Kwani jamaa ana tatizo gani maana naskia hii ni ndoa ya pili au ya tatu. Ni bahati mbaya anaokota mabomu au ana tatizo mahali?