Ndoa ya aina yake yafungwa Dar

bila picha hii habari hainogi kabisa yan......
 
Mapenzi hayana mwenyewe, bora kajiolea limama lake kwanza ndio waliotulia hawana mambo yakuumiza vichwa kama baadhi yakina Dada

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Mungu kamtendea huyo Dada,
Watu msishangae, Dada alimlilia Mungu, sasa kajibiwa maombi yake.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
So instead but very very serious...[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
 
Kweli kabisa naamini hata bi Wema Sepenga nae atakuja pata wake tu siku moja, kwamaana ngombe hazeeki maini.
Sepenga hana bahati ya Mahusiano, yeye bahati yake ilikuwa ni umaarufu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…