Asante.. what is ukaanza na Engagement alafu mahari baadaye?Daima mtoto anaanza kulala,kisha kukaa,kutambaa ndio aje kutembea halafu chekechea kisha darasa la kwanza.
Inaanza kutongozana,kukubaliwa,kuchunguzana,kutambulishana kwa wazazi kisha posa,halafu mnapangiwa siku ya kutoa mahari,ukiwa na hela andaa sherehe ya uchumba(showoff),usipokuwa nayo valishaneni siku ya kutoa mahari au mkiwa pwke yenu mnapokutania,kisha kitchen party kwa bi harus mtarajiwa,sendoff,bachelor party,etc mwishowe Harusi.
Haa kumbe najua kuandika insha ya magazetini safi kabisa numbisa
Hapo kuna kama matukio matatu au manne yanataka kula hela kizembe.Daima mtoto anaanza kulala,kisha kukaa,kutambaa ndio aje kutembea halafu chekechea kisha darasa la kwanza.
Inaanza kutongozana,kukubaliwa,kuchunguzana,kutambulishana kwa wazazi kisha posa,halafu mnapangiwa siku ya kutoa mahari,ukiwa na hela andaa sherehe ya uchumba(showoff),usipokuwa nayo valishaneni siku ya kutoa mahari au mkiwa pwke yenu mnapokutania,kisha kitchen party kwa bi harus mtarajiwa,sendoff,bachelor party,etc mwishowe Harusi.
Haa kumbe najua kuandika insha ya magazetini safi kabisa numbisa
Hahahhaa... Shikamoo MaguHapo kuna kama matukio matatu au manne yanataka kula hela kizembe.
Nitayakata.
Mahari ikiwa kubwa nawaachia mtoto wao. I hope ananipenda tutoroke
Hapo kuna kama matukio matatu au manne yanataka kula hela kizembe.
Nitayakata.
Mahari ikiwa kubwa nawaachia mtoto wao. I hope ananipenda tutoroke
Asante.. what is ukaanza na Engagement alafu mahari baadaye?
Kuna hiyo Kitchen party, send off, bachelor party na hata harusi yenyewe[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Hahahaa kama yap hayo matukio?
Ukishatoa mahari tayar ni wako haina haja ya kutoroka
Kuna hiyo Kitchen party, send off, bachelor party na hata harusi yenyewe[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Mahari ikitajwa kubwa hapo ndiyo wakwe wataniona mbaya, ni kutoroka na binti yao tu.
Mnakariri vitu vya kipuuzi kabisa, kama huyo demu wako umejiridhisha anatosha kuwa mke na wewe umejipima unatosha kuwa Baba na si nyege zinakupelekesha ili upate uhakika wa mbunye ya kujisevia full time basi fanya hivi.Wana jamvi..
Leo nimefikiria mengi nikaona niangalie na mawazo ya wana jamvi wengine ambaye ni ninyi..
Hivi katika safari ya ndoa, kuna swala la uchumba na mahari..
Je ni mahari huanza, alafu uchumba, kisha ndoa..
Au ni sherehe ya uchumba (Engagement), ndo huanza kisha mahari alafu ndio Ndoa..
Naombeni majibu yaliho sahihi yasiyo yakudhani, kubunia, n.k..
Akhsanteni
Diamond alimvalisa pete ya uchumba wema.. ina maana alitoa mahari?Sasa utachumbiaje wakat hujatoa mahari. Labda umfanyie suprise mbali na wazazi wake
Diamond alimvalisa pete ya uchumba wema.. ina maana alitoa mahari?
ahaaaDiamond alimvalisa pete ya uchumba wema.. ina maana alitoa mahari?
[emoji6][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]Duuh mm naona nyota hapa