Yaani eti ukafanyaje?Kuna jamani niliwahi kumuona analia LIVE eti kisa kanyimwa papuchu ha ha ha ha
Nyumba za kota zina mambo jamani
#Ni Mimi mwenyewe
Niache kumpetipeti Sky Eclat eti nianze kutoa ushauri kwa wazembe.Ungeomba wazazi wako /wakubwa zako wakupe hilo darasa. Acha kuchosha wenzio usiku wote huu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya sasa wenye ndoa zao tunasubiria miongozo yenu itusaidie tusiingie kusiko.
Wale tulio single tukutane kwenye kikao chetu cha mwanzo wa mwaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Si ndiyo hapo sasa.[emoji1787]Niache kumpetipeti Sky Eclat eti nianze kutoa ushauri kwa wazembe.
Hapa ndo kwenye point kila mmoja ana namna anvyoishi na mwenzi wake.Labda mtoa mada angetaja baadhi ya changamoto tuone namna ya kushauri Kwa jumla.Marriage is subjective. It depends na wanandoa wenyewe watakavoamua kui-handle ndoa yao.
Unforgetable