Ndoa special thread

Ndoa special thread

qmansome

Senior Member
Joined
Sep 25, 2015
Posts
108
Reaction score
44
Wadau karibuni tupeane visa, na mikasa tunayokutana nayo kwenye ndoa zetu.

Tupeane hints za kutaka kuoa, maana kuna changamoto kubwa katika ndoa zetu za mwendo kasi kuvunjika ndani ya muda, mfupi.

Tupeane darasa (counseling) ya namna bora ya kutatua changamoto zinazotokeza kwenye ndoa zetu bila ya kuleta mikwaruzano katika familia zetu.

Namna bora ya kudhibiti michepuko yetu bila kelele. Maana asilimia kubwa wanaume kwa wanawake wengi tuliopo kwenye ndoa tuna loose balls za kusogeza maisha

Walimu, Magwiji na Makungwi karibuni uwanjani



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu usiku wote huu nini kimekusibu huko?henu tupe kisa chako kwanza.
 
mtoa mada umeachwa usiku huu.? em tuache sie tulale.
 
Kuna jamani niliwahi kumuona analia LIVE eti kisa kanyimwa papuchu ha ha ha ha

Nyumba za kota zina mambo jamani

#Ni Mimi mwenyewe
 
mkuu usiku wote ule unawaza mambo yakuachwa badala yakuwaza kutafta fwedha, dah wabongo tunasafari ndefu sana kufika hata robo ya wanachofanya wadhungu
 
Haya sasa wenye ndoa zao tunasubiria miongozo yenu itusaidie tusiingie kusiko.

Wale tulio single tukutane kwenye kikao chetu cha mwanzo wa mwaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gamophobia
IMG_20200216_041451.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom