Ndoa sio kitu cha mchezomchezo

Ndoa sio kitu cha mchezomchezo

Habari za mchana wana JF wenzangu.....kuna hiki kitu tunakichukulia poa sana katika maisha haya haswahaswa wadada aisee....

Unakuta mtu kamjua mkaka juzi tu basi anaanza na mawazo yake ya kutaka kuolewa mara amsumbuesumbue ooooh nipeleke kwenu mara oooh mbona hunitambulishi utakua una michepuko.... kumbe mwenzako anakua anakusoma kwanza je unafaa? pia anataka akuoneshe je kwa jinsi unavoniona maisha yangu je ntakufaa?? Sasa wewe mwanamke kisa unaona ana kauwezo ka kukununulia chips basi huyooo dada umezama...huambiwi husikiii fb na insta kooote umejaza mapicha yake bila hata kufikiria mwenzako wala hata wala hata hakupost wala nini.... sasa mtu kama huyu akija kutendwa sasa ndo anakunywaga sumu anajifia zake kisa nini.... you exoected too much... na hata akiolewa daah anakua analalamika saaaaana bila kusahau yeye ndo alilazimisha swala la ndoa


Kila siku mume akirudi kelele tu oooh mamaako kafanya hivi ooooh dada zako wako hivi ooooh sijui nini...mpaka mwanaume anakuchoka anaenda kuhudumiwa nje..... mambo yote wadada yanayotutokea kwenye mahusiano SISI NDO TATIZO....

Tujirekebishe...tujiheshimu, tujielewe tusiwe tunakurupuka ovyooo kisa mwanaume anavijihela hata kama humpendi umemganda.... kua mkweli na hisia zako......

Ushauri wa mwisho kabisa..... ukipenda usipende 100% utaumiaaaaa.... wanaume sio watu, kama vile wanavyotuona sisi wanawake sio watu.....

USIMUAMINI MTU.

Huo muda wa kunywa sumu kwa sababu ya pimbi mmoja unautoa wapi? una umia moyo kwa dakika na akili lazima ichangamke kutafuta pesa ili usinyanyaswe na mwanaume ...ndo maana siku zote nawaambia wanawake wenzang tutafute pesa ili hawa wanaume wasituumize yaan akikugeresha ttu ..na wew unamgeresha HATUTAKI UJINGA ,,HAHAHHAHAHAA iga ufe natania tu jaman..ila kuwa na pesa mwanamke raha sana mwanaume hakusumbui,,,,ama nin ..
unamnyoosha tu akizingua ..unampeleka central ama nn ,,,eeh mwanamke kuwa na pesa na mali zako ila usimwonyeshe mwanaume jifanye goigoi kwenu hakuna yaan ..jifanye umetokea kwenye njaa,,,hahahaahaha ati wataka kusibishwa ,,,iga ufe,,soorry typing error..h😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom