Ndoa Nyingi Kusalitiwa!!

Ndoa Nyingi Kusalitiwa!!

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
21,369
Reaction score
27,786
Habari wana-MMU

Kwa tafsiri iliyo rahisi ni kwamba kila nyumba ya wageni utakapojaribu kuulizia nafasi ya kulala msimu huu wa sikukuu na kumalizia mwaka utaambiwa nafasi za kulala hamna ila nafasi za show time zipo,.

Hii ni dhahiri kwamba kuelekea mwisho wa mwaka ndoa nyingi zipo hatarini kusalitiwa kama siyo kuvunjika kabisa!!

'' Merry Christmass MMU Family''
 
Show time ndo nini?

Na nani aliyekudanganya wanawake wote wameolewa?
 
Habari wana-MMU

Kwa tafsiri iliyo rahisi ni kwamba kila nyumba ya wageni utakapojaribu kuulizia nafasi ya kulala msimu huu wa sikukuu na kumalizia mwaka utaambiwa nafasi za kulala hamna ila nafasi za show time zipo,.

Hii ni dhahiri kwamba kuelekea mwisho wa mwaka ndoa nyingi zipo hatarini kusalitiwa kama siyo kuvunjika kabisa!!

'' Merry Christmass MMU Family''

Hahahahahaa kwani ujui kwamba kwa Tanzania wana wake ni wengi kuliko wanaume?
 
waache wasalititiane,wakianza kuugua homa za marakwamara,wanaanza kusema wamerogwa,Tamaa mbele,mauti nyuma.
 
waache wasalititiane,wakianza kuugua homa za marakwamara,wanaanza kusema wamerogwa,Tamaa mbele,mauti nyuma.

Mbona unajitoa? Hata wewe vile vile unaweza kuwa mhanga!!
 
kama nawe ni mmoja wa wanandoa, tunza ndoa yako, kama hauko kwenye ndoa jiepushe na hayo mashuka ya guest kwani ndo maarufu kwa show time unazosema. si tu siku za sikukuu bali na siku zingine
 
nna dawa ya nguv za kiume'mkeo hatok tena'mit shamba za uhakka kama vp npm'wadau unauwezo wa kupiga @cku gor zaid ya 3'msukuma orginal'pia nnadawa ya ksukar malpo mpaka uone mafankio
 
Kama vp nikuone sister maana natafuta sana hawa watu wa aina yako
 
Wanaoongoza kwa maambukizi ya ukimwi ni wanandoa.
 
Wenye ndoa wana kazi na mechii za ugenini!dawa yenu tu ni kugandana msim huu wa sikukuu
 
Back
Top Bottom