Ndoa Nyingi Kusalitiwa!!

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
21,889
Reaction score
29,694
Habari wana-MMU

Kwa tafsiri iliyo rahisi ni kwamba kila nyumba ya wageni utapojaribu kuulizia nafasi ya kulala unaambiwa hamna ila nafasi za show time zipo,.

Hii ni dhahiri kwamba kuelekea mwisho wa mwaka ndoa nyngi zinasalitiwa kama siyo kuvunjika kabisa!!

'' Merry Christmass MMU Family''
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…