Ndoa ni mpango wa Mungu

ni kweli,sasa tufanyeje?
 
Kwa Mungu mpango wa ndoa takatifu ni mume na mke wawe hawajafanya ngono kabla ya ndoa.

Ila leo mnamchezea Mungu mnaona tayari mmeshatiana hadi mimba

Kataa ndoa wana hoja wasikilizwe
 
Sure,

Ndoa ni mpango Takatifu tangu mwanzo, ujumbe njema utokao kwa Baba, yahitajika hekima kuitunza hadi kifo kiwatenganishe...

Mke si kidude cha kujaribu miguu yako, mume si kipaza sauti cha kupigia kelele,

mpendane, msichokozane, Amani ya Mungu iwe ndani yenu 🐒

ni maneno katika wimbo flani wa wanyarwanda....


R .I. P Laigwanan comrade ENL
 
Je wajua ata YESU ni kataa ndoa kimatendo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…