fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,606
- 8,270
Wajinga Ndiyo WanaopigwaVijana wanataka waolewe....
Hahaha Vijana oeni, ndoa ni tamu kama wewe ni mwanaume rijaliWajinga Ndiyo Wanaopigwa
KE wa Gen Y na Z ni majambazi tu kama CCMHahaha Vijana oeni, ndoa ni tamu kama wewe ni mwanaume rijali
Hahahaha ila CCM ni majambazi ya level nyingineKE wa Gen Y na Z ni majambazi tu kama CCM
watawaibia wajinga , siyo mimi
Wakatae ili waolewe? Mimi natangaza kila siku, kama kuna mwanamke anajiamini aje nimuoe Mke wa pili.....akichelewa atakua mke WA tatuNdoa sio maalumu kwa kila mtu wengine inabidi wakatae TU ndoa
hakika ni mawazo yangu,hujakoseaHayo ni mawazo yako kutokana na ukomo wa akili yako, kuna watu wanafikiria kuanzia ulipoishia kwenda mbele
una uhakika?Ndoa sio kwajili ya Kila mtu mkuu
wewe unayeandika haya uneoa,sasa kwanini una hadaa wenzio?Ndoa ni ibada na sio kila mtu anaweza fanya ibada.
Kuoa au kutooa sio dhambi.
Dawa ipi ? ya kutapeliwa kizembe ?maradhi uliyonayo ni mabaya sana,jitahidi kutafuta dawa
umesema kweli nakuombea kwa Mola akupe furaha,amani,kipato na maisha marefuNdoa hazina shida tatizo wengi hatuna elimu sahihi kuhusu kuchaguana mwenza sahihi.
Angalau zamani watu walichaguliwa kwa waliokuwa na elimu hio ndo wazazi wetu.
Kizazi Cha sasa hakiandaliwi kuhusu ndoa.
tafakari ulichoandikaKE wa Gen Y na Z ni majambazi tu kama CCM
watawaibia wajinga , siyo mimi