Dr sindanochungu
Member
- Nov 7, 2016
- 59
- 38
Sawa mkuu, Maendeleo ya kiuchumi yanapatikana nje na ndani ya ndoa.Namaanisha hayohayo uloyataja hasa maendeleo ya kiuchumi
Mim naamin katika wawil mnaweza kufanya kitu cha maendeleo zaid kuliko mmoja ila sasa ni kama wote mkiamua hilo otherwise kama ni one way direction bora ufanye mwenywe japokua inaweza kuchukua mudaOkay mkuu wewe binafsi jambo hili unalionaje..?
Kwel utu uzma dawaMaendeleo ya vipi mkuu?
-Unaweza kujenga nyumba, kumiliki gari, shamba, biashara, watoto bila ndoa.
-Pia ndani ya ndoa unaweza kumiliki gari, shamba, biashara na watoto.
*USHAURI: vijana tusiache kuoa ukiwa una 'uwezo' wa kuoa sababu ndoa ni heshma na ni stara.
ndio kwasababu huwezi ukawa na mke anakutegemea alaf ukawa unalala ndani...lazima ukajitume upate kitu kidogoNatumai mpo vyema na wenye afya...
Hoja kuu hapa nayotaka kujua ni kama kichwa cha habari kisemavyo " je,ndoa ni chachu ya maendeleo"
Natumai nitapata majibu maana humu kuna wanandoa na wanajua maswala haya...
Karibuni
vipi ktk hali halisi ni kweli ndoa ni chachu ya maendeleo..?Mim naamin katika wawil mnaweza kufanya kitu cha maendeleo zaid kuliko mmoja ila sasa ni kama wote mkiamua hilo otherwise kama ni one way direction bora ufanye mwenywe japokua inaweza kuchukua muda
Hii haina tafsiri ya moja kwa moja mkuu but can be one of themvipi ktk hali halisi ni kweli ndoa ni chachu ya maendeleo..?