baba junior
Senior Member
- Sep 21, 2012
- 143
- 30
Upo wapi nije kushuhudia???
Mafunzo ya ndoa niliyopewa hayaniruhusu kumpiga mume..... Ntaanzia wapi mie mtoto wa kike?
ni fundisho kwa waliooa wake mabaunsa na wenye maneno,hapa mchiz anatafuta pa kulala.
Upo wapi nije kushuhudia???