Habari zenu wapenzi wangu woote!
1.ni halali kwa mume kuendekeza starehe wakati mke hapendi.
2.ni halali kwa mke kumzuia mumewe kufanya anayoyapenda wakati alishayaona tangu mwanzo na ukakubali kuingia kwenye ndoa.
3. Wote tunajua malezi ni ya pande zote mbili, nikirudi kwenye mfano wa uncle wangu niliowapa napata utata. Kwanini asiache kwenda mziki abaki kulea mtoto!!