Research Solutions TZ
Member
- Jul 11, 2020
- 66
- 145
Nitakuja majukumu mkuuMother Confessor na mama D naamini muwanawake, lakini nashangaa hamuoni nilichoandika, mnasema ngoja muone
Does this mean kwamba mimi ndio naona shida kwa wanawake kuliko nyie au inawezekana ni fair kila siku wanawake kunyanyisika baada ya waume zao kufariki?
Mwanaume akifa, hata kama ameacha watoto mama anakuwa hana mamlaka juu ya mali, na hata watoto hutaka kugawanaUmewasilisha vema Mkuu.
Ila mwanaume ni kichwa cha familia kwa hiyo akifa mwanamke bado mwenye jukumu la kulinda familia anabaki kuwa mwanaume na hii inamfanya kuendelea kubaki msimamizi na mlinzi wa familia.
Sidhani kama nimekuelewa vizuri.
Naomba kuwasilisha
Satanists ni imani changa ambayo bado haijajipambanua kimahusianoHaujawa specific kuwa mwili mmoja kwa mujibu wa dini gani ? Kwa mfano mimi satanist hayo mambo ya mwili mmoja na miradhi hatuyajui
Hapo sasa, kwa wale wanaume wenye mke zaidi ya mmoja huo mwili mmoja unajitengeneza vipi. Kwa hiyo wale wacha Mungu wa zamani na wafalme walivunja amri ya Mungu kwa makusudi maana kuna huyu Suleimani alikuwa na kijiji kizima cha wanawake.Haujawa specific kuwa mwili mmoja kwa mujibu wa dini gani ? Kwa mfano mimi satanist hayo mambo ya mwili mmoja na miradhi hatuyajui
Point ya msingi ni kuwa mirathi igawiwe baada ya wanandoa wote kufaKimsingi mume akifariki mwanamke anatakiwa aendelee na maisha pale pale nyumbani kwao akitumia resources zao. Kwa hiyo kwenye hili mke hastahili kuitwa mrithi kwa maana mali ni za familia, mume, mke na watoto. Kama kuna mali ambayo mwanafamilia anahitaji kuimiliki binafsi, hii ndo mwanafamilia anatakiwa aitaje kama mali binafsi na inaweza kuingia kwenye mirathi. Wanasheria chukueni hii muijengee hoja kuwaokoa wanawake...
logicHapo sasa, kwa wale wanaume wenye mke zaidi ya mmoja huo mwili mmoja unajitengeneza vipi. Kwa hiyo wale wacha Mungu wa zamani na wafalme walivunja amri ya Mungu kwa makusudi maana kuna huyu Suleimani alikuwa na kijiji kizima cha wanawake.
uelewa ulio nao juu ya satanism ni mdogo mno .Satanists ni imani changa ambayo bado haijajipambanua kimahusiano
Antony LaVey alijikita zaidi kwenye mambo ya Imani na hakuenda kwenye culture kwa ujumla
Au mimi Luciferian hayo siyajuiHaujawa specific kuwa mwili mmoja kwa mujibu wa dini gani ? Kwa mfano mimi satanist hayo mambo ya mwili mmoja na miradhi hatuyajui