Kiziwanda chema JF-Expert Member Joined Sep 2, 2016 Posts 290 Reaction score 478 Oct 30, 2019 #21 Inabidi tuandae muhtasari wa somo la ndoa, tuupeleke shuleni, vijana wa siku naona bado sana kuifahamu elimu ya ndoa, utandawazi unawaharibu
Inabidi tuandae muhtasari wa somo la ndoa, tuupeleke shuleni, vijana wa siku naona bado sana kuifahamu elimu ya ndoa, utandawazi unawaharibu
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 41,514 Reaction score 64,861 Oct 30, 2019 #22 Kiziwanda chema said: Inabidi tuandae muhtasari wa somo la ndoa, tuupeleke shuleni, vijana wa siku naona bado sana kuifahamu elimu ya ndoa, utandawazi unawaharibu Click to expand... Ni kweli mkuu,kutokana na kukua kwa teknolojia na binadamu kuwa na uwezo wa kuona kinachofanyika katika ulimwengu wa kwanza n.k imeleteleza kubambikizana majukumu yasiyokuwa ya lazima.
Kiziwanda chema said: Inabidi tuandae muhtasari wa somo la ndoa, tuupeleke shuleni, vijana wa siku naona bado sana kuifahamu elimu ya ndoa, utandawazi unawaharibu Click to expand... Ni kweli mkuu,kutokana na kukua kwa teknolojia na binadamu kuwa na uwezo wa kuona kinachofanyika katika ulimwengu wa kwanza n.k imeleteleza kubambikizana majukumu yasiyokuwa ya lazima.
Lyamber JF-Expert Member Joined Jul 24, 2012 Posts 11,737 Reaction score 18,934 Oct 30, 2019 #23 Nenda kwenye semina ya ndos kwenye hilo kanisa au msikiti unapoenda
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 41,514 Reaction score 64,861 Oct 30, 2019 #24 Lyamber said: Nenda kwenye semina ya ndos kwenye hilo kanisa au msikiti unapoenda Click to expand... ha ha ha ha
Lyamber said: Nenda kwenye semina ya ndos kwenye hilo kanisa au msikiti unapoenda Click to expand... ha ha ha ha