Miss Neddy JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 14,684 Reaction score 8,761 Aug 17, 2014 #41 utafiti said: Me nishafanya utafiti wakutosha kabisa, na utafiti unaonyesha ndoa tamu sana Click to expand... e madhaifu yapo katika ndoa yoyote ile but hayaondoi uhalisia kuwa ndoa ni taasisi kila mmoja anaitamani Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
utafiti said: Me nishafanya utafiti wakutosha kabisa, na utafiti unaonyesha ndoa tamu sana Click to expand... e madhaifu yapo katika ndoa yoyote ile but hayaondoi uhalisia kuwa ndoa ni taasisi kila mmoja anaitamani
utafiti JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 12,783 Reaction score 7,675 Aug 18, 2014 #42 miss neddy said: e madhaifu yapo katika ndoa yoyote ile but hayaondoi uhalisia kuwa ndoa ni taasisi kila mmoja anaitamani Click to expand... Namsubiri xiexie aje kutoa neno hapa,....kweli ile sehemu kila mmoja anaitamani Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
miss neddy said: e madhaifu yapo katika ndoa yoyote ile but hayaondoi uhalisia kuwa ndoa ni taasisi kila mmoja anaitamani Click to expand... Namsubiri xiexie aje kutoa neno hapa,....kweli ile sehemu kila mmoja anaitamani
amkawewe JF-Expert Member Joined Dec 9, 2011 Posts 2,021 Reaction score 528 Aug 18, 2014 #43 Evelyn Salt said: Kama ulipata mke jeneza una haki ya kuiona ndoa ni kaburi....!!! Click to expand... Jibu zuri sana. Mke mwema hutoka kwa Mungu
Evelyn Salt said: Kama ulipata mke jeneza una haki ya kuiona ndoa ni kaburi....!!! Click to expand... Jibu zuri sana. Mke mwema hutoka kwa Mungu