Ndoa ipi kati ya hizi inafaa.

kakuruvi

JF-Expert Member
Sep 2, 2009
770
256
Wana JF nawasalimu!!

Katika taratibu za kuoa kuna za kidini, kikabila na kiserikali lakini ninachozungumzia hapa ukizingatia faida na hasara, unapendekeza ipi na kwanini, ndoa ya mume mmoja/mke mmoja lakini nyumba ndogo kwa siri. au mume mmoja/wake wengi kwa uwazi.

Tuchangie faida na hasara ili tuelimike wengi. Asanteni.
 
Ndoa inategemea wanandoa kama ni watu wa dini (wenye imani) watafunga ndoa zao kwa mujibu wa dini zao

Kama ni watu secular wasioamini dini wanaweza kufunga kwa ofisi ya serikali

Hali ya kiuchumi inaweza kuwa kigezo cha ndoa, serikalini ni cheap, msikitini is even cheaper.

Ama kuhusu wake wengi inategemea kwanza a) Mali uwezo wa kulisha familia nyingi b) uwezo wa kutoa service za chumbani (ngono) kama uko fit wewe karibu kwenye ndoa za wake wengi..ila uwe manager kweli kweli siyo lelemama
 
Wana JF nawasalimu!!

Katika taratibu za kuoa kuna za kidini, kikabila na kiserikali lakini ninachozungumzia hapa ukizingatia faida na hasara, unapendekeza ipi na kwanini, ndoa ya mume mmoja/mke mmoja lakini nyumba ndogo kwa siri. au mume mmoja/wake wengi kwa uwazi.

Tuchangie faida na hasara ili tuelimike wengi. Asanteni.

angalia kwenye red sahihisho ni kimila or mila ndoa za kimila
 
Nadhani kila mmoja atasimama pale alipo, kama wewe mkristo utafunga kikristo, kama wewe mwislamu vivyo hivuo utafunga kiislam, mkiwa dini tofauti mnaweza kwenda bomani.
 
Back
Top Bottom