mahirtwahir
JF-Expert Member
- Jan 12, 2013
- 614
- 322
kwa nini
Hahhaaaa Kiswahili cha kwenye Ngalawa hikiSijui umeandika upupu gani
Shida ya kuolewa na mpemba[emoji23].Hahhaaaa Kiswahili cha kwenye Ngalawa hiki
Jamaa kaoa ila sehemu anapokaa anakaa na familia yake(upande wa mume) ni kama lakijiji(compound) ya nyumba 6. Wako madada/mawifi wa mkewe,wazazi wa mume hadi mabibi na mababu sasa nadhani interaction(mchanganyiko) wa hizo familia mbili wamekua wakisigana. Mtoto wa jamaa alogombana na mtoto mmoja hapo "kijijini" imesababisha mtafaruku mkubwa mke wa jamaa haongei na "wanakijiji" wengine ambao technically ni wanafamilia wengine kwasababu hio. Na pia inavyoonekana huyo jamaa ndo anaelea sehemu kubwa ya hicho "kijiji" ila ana mpango wa kujenga mbali ahamie huko mke hataki kusubiri mpaka hio nyumba ikamilike wahamie anataka kuchimba sasa hivi kwasababu ya ugomvi huo mdogo. Jamaa kajaribu kumbembeleza mke haelewi somo
Upo yakhee???
Hahhaaaa Kiswahili cha kwenye Ngalawa hiki