mahirtwahir
JF-Expert Member
- Jan 12, 2013
- 614
- 322
Habari zenu wana MMU.
Watu wanasema " Mwanao na Mwana wa mwenzio ndio mji ukavuma" kuna jamaa anaishi sehemu kijiji cha nyumba kama 6 dada na ndugu ndio jirani zake.
Toka jamaa akae hapo na mke wake ni mika 5 sasa ila sasa mke wake hafahamiani na jamaaa wa mwanaume kwa ugonvi wa watoto tuuu kupigana sasa mwanamke anataka aende kwao hadi mume atakapomaliza jengo lake ili wakahamie mbali kidogo.
Hali hiii imekua shida mke kashikilia msimamo wake na mume kila akijaribu kumnasihi imekua shida
Tumsaidie kwa hekma afanyeje wakati huyu mwanaume ndio anatunza wazee wake baba na mama na bibi yake hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app

. 